Bongo mwendo wa viboko tu, panazidi kunoga, huyu naye mwingine

Bongo mwendo wa viboko tu, panazidi kunoga, huyu naye mwingine

Mi nasema adhabu ya viboko ni bora kuliko jera: viboko vinapoa baada ya masaa, ila jela ni miaka bila familia, mke, rafiki, na chini ya mazingira magumu.

Huwa nashangaa pale mashirika ya haki za binadamu yanapokemea viboko wakati yakaa kimya nchi za marekani zikitoa sentensi ya miaka thelathini kisa mtu anabeba bangi.

ni mtazamo tu.
 
Hata na wao wanao wachapa nao wanahitaji viboko kama viboko ndo nidham.
 
Hii haifai. Anapaswa kuchukuliwa hatua.

Lakini hata nyie manyang'au niliona mahali mnatandikwa viboko na mchina.

Nasikia mchina kaweka koloni hapo anawararua mboko tu!

Mbona Mchina hutembeza Kungfu sana Bongo, jameni hivi mbona huwa mpo legelege....
Halafu kwenye hiyo video nimeona mnachapwa na mwanamke, yaani wanaume mijitu mnalazwa na kutembezwa mboko na mwanamke.

Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.
 
Unajua maana ya kuwatwanga makonde na kuwachapa viboko?

Case ya Tanzania ni wachina walikua wanapigana na watanzania and obviously walileta ujuaji wakazibuliwa vizuri then serikali ikawafukuza juu

Ni tofauti na ninyi mnaolazwa sakafuni kwa hiari yenu kisha mchina anashuka na mvua ya bakora 😅😅😅😅
 
EqwQEPlXAAM6kWN.jpeg
EqwQEOFXcAMYBk-.jpeg

Nchi inaendeshwa kwa kutishiana.
 
bora huku nyinyi mnachapwa makofi na viboko na wachina kwenye nchi yenu

Nyie mbona mnachapwa sana kungfu na hao Wachina, mnatia huruma sana kwa mlivyo legelege mnapigwa na viongozi wenu, mnapigwa na wageni, ila mpigwe tu hadi akili.
Soma hapa uone mnavyotembezwa kungfu
 
Madili ya ccm makaliyo ya chapwe. Pasha pasha pasha makaliyo chapa!Makaliyo safiiii
 
Juzi waziri wa elimu nchini Kenya Profesa Magoha aliponea chupuchupu kupigwa kalamu kwasababu ya kumdhalisha mdogo wake(Director wa Elimu, Gatuzi la Uasin Gishu) kwa matusi tu na maneno makali. Najaribu kuwaza ingekuwaje kama angedhubutu kutumia kiboko au fujo kama huyo waziri nchini Tz. Hawa majirani zetu hawajielewi kabisa. Wataishia tu kwenye domodomo za uoga uoga mitandaoni ila hawawezi wakaonesha hamaki zao wazi wazi kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom