Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamuu ya tanoJuzi waziri wa elimu nchini Kenya Profesa Magoha aliponea chupuchupu kupigwa kalamu kwasababu ya kumdhalisha mdogo wake(Director wa Elimu Gatuzi la Uasin Gishu) kwa matusi tu na maneno makali. Najaribu kuwaza ingekuwaje kama angedhubutu kutumia kiboko au fujo kama huyo waziri nchini Tz. Hawa majirani zetu hawajielewi kabisa. Wataishia tu kwenye domo domo za uoga uoga mitandaoni ila hawawezi kuonesha hamaki zao wazi wazi kwa vitendo .
Hahahahaa....
Mijitu hovyo sana hii...
Mboko HaramMadili ya ccm makaliyo ya chapwe. Pasha pasha pasha makaliyo chapa!Makaliyo safiiii