Mbona video haipo au Mod kaimaindi?Mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
πππHalafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
Hii tabia ya viongozi kuchapa watu viboko wao wenyewe Wakati kuna utaratibu na kuna surbodinates wanaweza kutoa adhabu mm binafsi siipendi,ni ushamba flani Hivi na kutaka kujionnesha kwamba wanafanya kaziHalafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
Hii haifai. Anapaswa kuchukuliwa hatua.
Lakini hata nyie manyang'au niliona mahali mnatandikwa viboko na mchina.
Nasikia mchina kaweka koloni hapo anawararua mboko tu!
Ipo mpaka wakitandikwa vibao na mzunguHii haifai. Anapaswa kuchukuliwa hatua.
Lakini hata nyie manyang'au niliona mahali mnatandikwa viboko na mchina.
Nasikia mchina kaweka koloni hapo anawararua mboko tu!
Unajua maana ya kuwatwanga makonde na kuwachapa viboko?Mbona Mchina hutembeza Kungfu sana Bongo, jameni hivi mbona huwa mpo legelege....
Halafu kwenye hiyo video nimeona mnachapwa na mwanamke, yaani wanaume mijitu mnalazwa na kutembezwa mboko na mwanamke.
Wafanyakazi maskini Watanzania hupigwa kichapo cha aina ya kung-fu na Wachina
Mchina juzi alifukuzwa Kenya kwa kosa la kuwatukana Wakenya, huku JF hakukukalika kwa jinsi Watanzania walichekea tukio hilo. Lakini cha kushangaza wao kama ilivyo kawaida huwa hawajiangalii, tusi la kibaguzi dhidi ya Mkenya mweusi linawahusu pia, yaani kuwa na akili ndogo ni laana. Sasa...www.jamiiforums.com
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.
Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
SERIKALI imewatimua nchini raia wawili wa China kwa kosa la kuwatwanga makonde na kuwanyanyasa Watanzania walioajiriwa katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya Makongorosi mkoani Mbeya, inayojengwa kwa kiwango cha lami.www.ippmedia.com
bora huku nyinyi mnachapwa makofi na viboko na wachina kwenye nchi yenuHalafu ni waziri, mtanyooka sana nyie watu, mumekua mdebwedo siku nyingi na kupenda kulialia....hehehe watawala wenu wamedhamiria mtafundishwa kwa mboko.
https://www.jamiiforums.com/data/video/2654/2654963-c25c8ae6c2cee0b1bdb0d36425691e96.mp4
bora huku nyinyi mnachapwa makofi na viboko na wachina kwenye nchi yenu
Hahahahaa....Ipo mpaka wakitandikwa vibao na mzungu