Bongo na Wimbi kubwa la Wadada Wasagaji-Wamekosa nini kwa Wanaume?

Bongo na Wimbi kubwa la Wadada Wasagaji-Wamekosa nini kwa Wanaume?

Ni tabia,kuigana na pia pornography zimechangia haina mahusiano na wanachopata au kikosa kwa wanaume.
 
Ndani ya wanawake 10 ,6 walishapitiwa au wanatamani wafanye huu upuuzi
 
Ni tatizo la kuangalia sana Porn...

Wengi wamejikuta WANAIGA tabia...
 
Utakubaliana na mimi kuwa wadada wengi sikuhizi wamekimbilia mapenzi ya Jinsia moja ..tunawaona huko makazini na pia mashuleni...nini Wamekosa ??????
Picha haionekani mkuu
 
Back
Top Bottom