MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa.
Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma alichoandika WAKAZI baada ya huyu binti mdogo kutendewa ukatili.
View: https://www.instagram.com/reel/DYIHQxRChB6/?igsh=MXAzNXM4bXltd2JrNQ==