Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Wajinga wajinga tu 🚮🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master J ana hasira za kuwa zilipendwa. Amepoteza relevance kwenye tasnia ya muziki kiasi kwamba kwa sasa utambulisho pekee alionao ni kuwa msaidizi wa Madam Ritha BSS.Master J ni mchagga labda anakunywa mbege kabla ya kipindi!
TrueHapa bongo watu wengi sana wana stress za maisha. Sasa kila mtu hua anatumia ajira yake kama sehemu ya kutolea stress na kumalizia hasira na machungu aliyo nayo, hasa pale ambapo kapewa "rungu". Mfano mwalimu atataka amalizie stress zake kwa wanafunzi, nesi atataka amalizie stress kwa mgonjwa, trafiki atamalizia stress kwa dereva, Salama atatolea stress kwa washiriki wa BSS nk.
Ndio maana nashangaa watu kama BASATA wanalea huu udhalilishaji.Sasa unategemea nini kutoka kwa mtu kama Salama? Hajulikani ni wa kike au wa kiume, mzee au kijana. Yani kapo kapo tu.
Tatizo la Bongo ni kukosa weledi wa mambo. Unamchukua mtangazaji ambae sifa pekee iliyomtambulisha ni kuwa na chuki kwa kudhihaki kazi za watu (rejea kipindi cha Salama miaka ya 2000) ndio awe judge sasa unatarajia nini toka kwake zaidi ya chuki. Anaona sifa kudhalilisha watu.
Ni vile tu hii ni Bongo na kila kitu kinaenda tu ila ingekuwa nchi za mbele wangepigwa na lawsuits mpaka wasijue pa kupumulia.
BASATA wanavizia mashairi ya wasanii tu. Mengine hayawahusu. Hii nchi ni ya ovyo sana.Ndio maana nashangaa watu kama BASATA wanalea huu udhalilishaji.
Uchaga umeingiaje hapa? Hao wengine hawana makabila? Makabila yao hawana pombe za asili?Master J ni mchagga labda anakunywa mbege kabla ya kipindi!
Pemba hakuna pombe!Uchaga umeingiaje hapa? Hao wengine hawana makabila? Makabila yao hawana pombe za asili?
Vipi kuhusu American Idol , The Voice na America's Got Talent ina matunda gani huko nchini mwao,tuweke kumbukumbu vzr.Tuseme ukweli kuwa BSS bado haijaleta matunda kwa tasnia ya Muziki Tanzania, wasanii wao wanaotokaga katika mashindano hayo huishia kwa kuonekana tu msimu wa BSS baada ya hapo hupotelee juu mawinguni.
Huwezi kupata mastaa kupitia program hii sababu hakuna majaji maPros kwenye hiyo fani bali majaji ni watu wa deal..wangeweka majaji mapros halafu wao wakawa executive committee ya kutoa maamuzi lakini kwa kufuata ushauri wa kitaalamTuseme ukweli kuwa BSS bado haijaleta matunda kwa tasnia ya Muziki Tanzania, wasanii wao wanaotokaga katika mashindano hayo huishia kwa kuonekana tu msimu wa BSS baada ya hapo hupotelee juu mawinguni.
Angekuwa na chura sijui ingekuwajeHuyo Salama anatumia lugha mbaya na maneno ya ovyo mno! Ni kama hajakua, ni sawa na mtu ambaye hana exposure, anaropoka, anapanic halafu ana kaubabe flani ka kishambaaaaaa
Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wabongo kabisa. Hawajui njia za kutatua matatizo yao, wao ni kulalamika tu hata kwa mambo madogo. Wewe (na wote) wenye maoni kama yako njia nzuri kabisa ya kukomesha ujinga kama huu ni kutokungalia kipindi. Wakikosa watazamaji, kitakufa natural death. Na hao vijana kwa nini wajipeleke sehemu kama hiyo? Wanalazimishwa? Watanzania tuache kutegemea serikali zembe kama hii itufanyie kila kitu. NB: Unacholalamikia kinaweza kuwa ni kweli (mimi siangalii ujinga kama huu, hivyo sijui) lakini uwezo wa kuchukuwa hatua mnao watazamaji na hao washiriki.Nimekuwa naangalia hiki kipindi cha Bongo Star Search karibuni ila Kauli chafu na maneno wanayowapa hawa vijana sio sawa kabisa.
Sijajua kama hizi lugha zingeeleweka huko mbele kwa nchi za wenzetu katika ulimwengu uliostarabika.
Nimeangalia vipindi vingi sana kama hivi mfano American Idol , The Voice na America's Got Talent ila sijawahi kuona kauli chafu za majaji.
Mfano Judge Salama ni jaji anayeongoza kwa kauli chafu na zinazowanyima kujiamini hawa vijana. Master Jay naye ni kinara wa lugha chafu zisizo na staha.
Sijui kama TCRA na BASATA wanafuatilia hiki kipindi vizuri au ndo yale yale ya bora liende.
Nawasihi BASATA an TCRA wawaambie hawa watu wenye hii program wasiwafanye hawa vijana kama vile ni watumwa katika nchi yao. Wanafanywa kama vikatuni .
Point sana umetemaHapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wabongo kabisa. Hawajui njia za kutatua matatizo yao, wao ni kulalamika tu hata kwa mambo madogo. Wewe (na wote) wenye maoni kama yako njia nzuri kabisa ya kukomesha ujinga kama huu ni kutokungalia kipindi. Wakikosa watazamaji, kitakufa natural death. Na hao vijana kwa nini wajipeleke sehemu kama hiyo? Wanalazimishwa? Watanzania tuache kutegemea serikali zembe kama hii itufanyie kila kitu. NB: Unacholalamikia kinaweza kuwa ni kweli (mimi siangalii ujinga kama huu, hivyo sijui) lakini uwezo wa kuchukuwa hatua mnao watazamaji na hao washiriki.
Wewe naye mimi hapa nalalamika au naongea kwa nilichokiona.Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wabongo kabisa. Hawajui njia za kutatua matatizo yao, wao ni kulalamika tu hata kwa mambo madogo. Wewe (na wote) wenye maoni kama yako njia nzuri kabisa ya kukomesha ujinga kama huu ni kutokungalia kipindi. Wakikosa watazamaji, kitakufa natural death. Na hao vijana kwa nini wajipeleke sehemu kama hiyo? Wanalazimishwa? Watanzania tuache kutegemea serikali zembe kama hii itufanyie kila kitu. NB: Unacholalamikia kinaweza kuwa ni kweli (mimi siangalii ujinga kama huu, hivyo sijui) lakini uwezo wa kuchukuwa hatua mnao watazamaji na hao washiriki.
Umelalamika bila kujua kuwa umelalamika? BTW kama wewe siyo shabiki haya umejulia wapi? Ili mtu uweze kuandika hivyo ni lazima uwe unaangalia mara kwa mara.Wewe naye mimi hapa nalalamika au naongea kwa nilichokiona.
Square your mind kabla hujaandika kitu.
FYI mimi sio shabiki wa hiki kipindi.
Kwa hiyo unanijua kuliko navyojijua???Umelalamika bila kujua kuwa umelalamika? BTW kama wewe siyo shabiki haya umejulia wapi? Ili mtu uweze kuandika hivyo ni lazima uwe unaangalia mara kwa mara.
Kwani ni ajabu mtu kutokujitambua? I mean, hujui unaweza kuwa hujui lakini hujui kwamba hujui? Ni wengi wadhani wao ni werevu kumbe sivyo!Kwa hiyo unanijua kuliko navyojijua???
We kiazi kweli, acha nikupuuze.