Bongo Star Search Waache Human Abuse, BASATA na TRCA wawaangalie !

Huyo Salama anatumia lugha mbaya na maneno ya ovyo mno! Ni kama hajakua, ni sawa na mtu ambaye hana exposure, anaropoka, anapanic halafu ana kaubabe flani ka kishambaaaaaa
Hayo Ni matokeo ya matumizi ya muda mrefu wa weed,wengi wao huwa na elements za ubabe na misimamo flani hv kw picha ya ukali,mfn Jide,Kistuli,c.ndosi,FeE nk
 
Kwa kweli hili jambo lishughulikiwe. RIP Bategereza alikuwa activi wa sasa hivi wakla hata simjui angelifuatilia hivi. Kuwa mnyoinge si mwanzo wa kunyayasa watu, Big up Omy Dimples kuna binti alidhihakiwa akamuuliza anafanya nini akasema biashara ndogondogo. Akamuita na kumpa pesa akasema anamuongezea mtaji. Hili halikubaliki!
 
Kumbe bado wanaendelea na zile lugha zao chafu!??
Mimi nilishaacha kuitazama kitambo sana!![emoji848]
 
Tuseme ukweli kuwa BSS bado haijaleta matunda kwa tasnia ya Muziki Tanzania, wasanii wao wanaotokaga katika mashindano hayo huishia kwa kuonekana tu msimu wa BSS baada ya hapo hupotelee juu mawinguni.
Kidogo Kala Jeremiah anaonekana kwenye platforms mbali mbali
 
Kuna wengine wanavutiwa Sana na hayo maneno ya kejeli
Salama anapenda Sana sifa Ila niwapongeze wanajua kumpointi mtu ambae ni muimbaji mzuri
Nakumbu kipindi kile alichoshindanWalter Chilambo tulijua pengine jamaa kapendelewa na aliyestahili kushinda ni Wababa Kumbe walilenga mulemule jamaa anajua sana kuimba
Ingawa kaacha kuimba bongoflaver na kugeukia upande wa gospel.
 
Hakuna judge pale wote hawajui music yaan mtu ndo anaanza kuimba unamkatisha hawajui mwanzo inakua ni kitete na mwisho mtu anakua amezoea mazingira
 
Mkuu naona wanakukela sana km mm yaan mm ndo niende pale harafu walete mibange yao pale ile maiki ndo itakua siraha namtwanga nayo mtu akili zimkae washenzi wale wanaaibisha sana wadogo zetu
NI WASENGE TU....HAKUNA KINGINE ....

NI WASAKATONGE TU ...MAV YA PUNDA....

NI MAFL FL ...

NB, ule ni upuuzi Kama upuuz mwingine ...f*k
 
Lile shindano linawadhalilisha watoto wa watu. Wazazi wajitahidi kuwatafutia fursa nyingine vijana wao sio kila kijana atakuwa mwanamuziki. Utu ni muhimu zaidi kuliko mambo ya udhalili wanayopitia.
 
Lile shindano linawadhalilisha watoto wa watu. Wazazi wajitahidi kuwatafutia fursa nyingine vijana wao sio kila kijana atakuwa mwanamuziki. Utu ni muhimu zaidi kuliko mambo ya udhalili wanayopitia.
Sanaaa sidhani wangefurahi kama ndio ndugu zao ama wadogo zao wangekuwa wanafanyiwa vilee . So childish wanavyofanya na wote ni watu wazima.
 
Salama ndivyo alivyo since way back kwenye Planet Bongo.
Alikuwa anaponda sana video za bongofleva hadi wasanii wanapaniki.

Hiyo ni shule tosha,Sasa hao washiliki wakishindwa kuhandle pressure za majaji,wataweza za mashabiki!? Hivi unawajua mashabiki wa bongofleva!?
 
Vipi kuhusu American Idol , The Voice na America's Got Talent ina matunda gani huko nchini mwao,tuweke kumbukumbu vzr.
Naomba vielelezo viletwe mezani mheshimiwa.
Tusitake kukosea kwa sababu wengine wanakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…