Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Hio pesa haitoi yeye soma maelezo vizuri Star times ambao ni wadhamini wamekwisha toa hio hela means ni imebaki benchmark kumpa mshindi pesa yake kuna ugumu gani hapo?
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Usiwaamini hawa wadangaji wa mjini wana jiita superwoman kama Joyce Kiria kutwa mitaandaoni show off kibao hawana lolote wamama wapambanaji wapo mtaani huko hua tuna waona saa kumi alfajiri wapo barabarani wamebeba mizigo wanalea family, wanasomesha watoto
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…