Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa hilo zoezi linahitaji udhamini ,kwa sasa ni kazi sana kwa kuwa hata timu za mipira na zenyewe zinakwama.
Hiyo kijana atajuta kwa alichofanya,alipaswa kumshukuru madam hata kwa promoshen na eksiposha aliyoipata hiyo tayari ni mtaji.Rejeeni shida aliyoipata DIAMOND kuipata.
Watanzania akili zetu zinasimama wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app