Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa hilo zoezi linahitaji udhamini ,kwa sasa ni kazi sana kwa kuwa hata timu za mipira na zenyewe zinakwama.
Hiyo kijana atajuta kwa alichofanya,alipaswa kumshukuru madam hata kwa promoshen na eksiposha aliyoipata hiyo tayari ni mtaji.Rejeeni shida aliyoipata DIAMOND kuipata.
Watanzania akili zetu zinasimama wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh. Nimesikitika sana... Kayumba nae kafunguka. Hivi huyu mama kumbe yale machozi huwa ni ya mamba!!!! Nimechoka aisee.

Kawapiga balaa...!!

Huwezi amini kabisaa..
 
Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa hilo zoezi linahitaji udhamini ,kwa sasa ni kazi sana kwa kuwa hata timu za mipira na zenyewe zinakwama.
Hiyo kijana atajuta kwa alichofanya,alipaswa kumshukuru madam hata kwa promoshen na eksiposha aliyoipata hiyo tayari ni mtaji.Rejeeni shida aliyoipata DIAMOND kuipata.
Watanzania akili zetu zinasimama wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam alikuwa na nia ovu.. Na kamdanganya waziri. Kwanza ilibidi awe jela saiz.

Tapeli.. Kwanza kaheshumiwa sana .
 
Kweli
Huko nyuma waliongea watu mengi mshindi anatengenezwa na akishinda anapewa kiasi fulani.

Baada ya watukadhaa kufatilia na kupatikana mshindi halali ambae majaji walijiridhisha ingawa sio wote.

Sasa pesa imegoma kutolewa

Madam Ritta hii kitu achana nayo dada aibu hii dhana ya Magu dk haki ya mtu haichukui miezi sita wala mwaka ona sasa serikali inakuamuru kulipa mshindi halali hii ni aibu.

Msipojiandaa msifanye sio lazima mbona pesa zenu mnajilipa on time.

Poor BSS

Naomba serikali kuangalia mara mbili ikiezekana mashindano kama haya yasio na uhakika wa mshindi kupewa zawadi zake muyafutilie mbali kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa hilo zoezi linahitaji udhamini ,kwa sasa ni kazi sana kwa kuwa hata timu za mipira na zenyewe zinakwama.
Hiyo kijana atajuta kwa alichofanya,alipaswa kumshukuru madam hata kwa promoshen na eksiposha aliyoipata hiyo tayari ni mtaji.Rejeeni shida aliyoipata DIAMOND kuipata.
Watanzania akili zetu zinasimama wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kupata picha na diamond ni mafanikio, hiyo picha itamsaidia nini takika sanaa yake?
Kama huna uhakika na uwezo wako wa kifedha kwa nini uandae kitu usichoweza kukimudu?
Unasema eti dogo kapewa promotion, hivi kutokea hapo BSS kutafanya maisha ya dogo kuwa mtelezo kwenye sanaa?
Alipe hiyo pesa.
 
Nani huyo boss
Kuna mwanamuziki mmoja aliwahi kuwa mule kama sehem ya Majaji, msimu mmoja tu akasepa.. nilipokuja kumuuliza akasema kwa mtu wa kaliba yake, pale hapamfai, mambo aliyoyaona yanalazimishwa mule hakuwa na moyo wa kuendelea tena kwa msimu mwingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hata siku moja mshindi wa BSS aliwahi kulipwa kamili.. Na mbaya zaidi wanahakikisha wanambana mshindi kwa mwaka mzima na kumdhibiti kwenye chochote anachopanga kufanya

Jr[emoji769]
Master Jeiiiiiiiiiiiii!
 
We MASABURI una akaunti mbili humu, eti? Maana nilikua nalumbana na kada kindaki-ndaki wa CCM, badala ya yeye kujibu unajitokeza wewe. Vijana wa Lumumba bana, hizo Smartphones mlizopewa na Mheshimiwa imekua taabu sana.
Basi umeshinda.
 
Sasa mbona hela atayopewa ni ndogo milion ishirin halafu million thelathin kwa kutangaza mziki wake bora wampe zote atajua yy atafanya vp

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa mkataba unasema hivyo unadhani itakuwaje? Ishu hapa hata hiyo 20 jamaa hawakumpa
 
Back
Top Bottom