Yah ameponda pamoja na Hamisi.Nae kaponda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ameponda pamoja na Hamisi.Nae kaponda?
Yah ameponda pamoja na Hamisi.
Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa hilo zoezi linahitaji udhamini ,kwa sasa ni kazi sana kwa kuwa hata timu za mipira na zenyewe zinakwama.
Hiyo kijana atajuta kwa alichofanya,alipaswa kumshukuru madam hata kwa promoshen na eksiposha aliyoipata hiyo tayari ni mtaji.Rejeeni shida aliyoipata DIAMOND kuipata.
Watanzania akili zetu zinasimama wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam Rita na uzuri wote ina maana amekosa Don wakumuweka mjini? Mzee Machache ndiyo alikua sponsor enzi zile. Kampun yake ipo hoi taabani. Mi najua hawezi kosa don la kumfanya akimbize mjini.
Mamaye ndo wajue sisi wanaume ndiyo kila kitu. Hakuna cha sijui every successful man has woman behind. Ni kinyume chake every successful woman has sponsor behind