Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

What a Shame!
Alipe deni na shindano lifungiwe

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Walivyokuwa wezi wanasema katika hiyo 50m, watakupa 20m alafu 30m watakufanyia promotion hiv hiyo promotion gani ya 30m? Na msanii yupi wa bss uliona anafanyiwa promotion shindano likiisha? Hiv Hawa sijui wanatuona sisi mbulula?
 
Hata me nashangaa promotion gani million 30? Me tokea nione haya mashindano sijawahi Kuna msanii baada ya kuisha shindano anafanyiwa promotion hata tu kurecodiwa na producer mkubwa sijaona.
 
Eti malkia wa nguvu [emoji23]

Ni mbwembwe hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivyokuwa wezi wanasema katika hiyo 50m, watakupa 20m alafu 30m watakufanyia promotion hiv hiyo promotion gani ya 30m? Na msanii yupi wa bss uliona anafanyiwa promotion shindano likiisha? Hiv Hawa sijui wanatuona sisi mbulula?
Promotion ya 30M bongo! Dah, kuna watu wezi sana asee...
Msela apambane apae hata hiyo 20m waliyokubaliana kwenye mkataba.
 
Walimlipe tu kwakweli, afu next time wasiahidi kutoa zawadi ambayo hawana uwezo nayo siyo wanasingizia Corona, vijana wanafight pamoja na zile comments zao za "umeimba vibayaa", "sauti mbaya" mwishowe hamna kitu isn't fair kabisa
alafu walivyo wezi wasio na haya wanasema kwenye 50m,Wanampa msanii 20m alafu 30m wanamfanyia promotion Cha kujiuliza promotion gani million 30? Na msanii yupi ambaye amewahi kufanyiwa promotion ya hiyo hela yanapoisha mashindano?sijui wanatuona sisi ni mapoyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…