Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Huu mkataba unamnyonya msanii,yaani anaambulia mil 20 cash na mil 30 ahadi hewa eti kupromote kazi yake!!!! Ataishia kurekodiwa studio za hali ya chini au kwa master j ngoma mbovu ndo itakuwa kwa heri,ndo maana wasanii wa bongo star search asilimia 90 wamepotea kusikojulikana!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Hatujali hilo jirani nyie mlipeni dogo chake.
Kila mtu ana uhuru wa kuwa chama anachokipenda au kutokuwa na chama kabisa so usimpangie mtu chaguo lake Kama wewe usivyopangiwa na mtu yoyote.Kuna sehemu nimetaja hicho chama? Mbona unakua punguani hivi?
Jamaa kawafungulia njia na washiriki wengine kudaimesha ukilipwa usinisahau ata buku.. Mie ndugu yako yakhe.
Huu ni uhuni kama vipi serikali ihakikishe dogo anapewe hela yake,ikishindikana BSS ifutwe.
Ila Madam Rita kampuni yake ya Benchmark nayo inatembelea rim,lile deni lake na TRA sijui wameshamalizana.
Shidaaamojaaa akubalii KWENDA namabadiliko ya MAISHA a a naonaa akiwaa kimyaa watamwonaa kachoka boss nn BANA a khaduuu huyu dada hata kipindi chake kule tbc anatafuta wazamini
watamuua na preshaa
Hebu acha kudhihirisha upunguani wako wewe, unadandia mada usiyoijua vyema. Hizo smartphones zenu mlizonunuliwa mliellekezwa kutetea tu, hata kama ni utumbo?Kila mtu ana uhuru wa kuwa chama anachokipenda au kutokuwa na chama kabisa so usimpangie mtu chaguo lake Kama wewe usivyopangiwa na mtu yoyote.
Hapo ndio ajue si kila mtu anataka hela zilizoandikwa kwenye makaratasi kama geresha kwa watu ili wajue kweli yanafanyika.
Madam ajipinde tu atowe mana hapo disco lishaingia mmasai.
Kuna yule jumanne idd aliambulia kicorolaMshindi wa bss kumiliki bajaj ni ngumu,itakua wanapewa vichenchi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anaisifia CCM wewe inakuuma Nini?mbona Kuna wengine hata serikali ifanye Jambo gani zuri lazima waponde mbona ujawatolea mapovu? Na kwenye hii issue kosa la serikali ni lipi?Hebu acha kudhihirisha upunguani wako wewe, unadandia mada usiyoijua vyema. Hizo smartphones zenu mlizonunuliwa mliellekezwa kutetea tu, hata kama ni utumbo?
Huyo kada wa ccm kila siku nikusifia tu, sasa imekuaje anailaumu Serikali yake kwa usanii wakati ni dhahili kabisa tuna Serikali ya Wababaishaji tu?
Kweli kabisa, umenikumbusha kuna ka mamz kangu kamoja baada ya kuona koki ya hela nimemfungia akapata boya mwengine ambaye anatuma hela kila anapopigwa mzinga. Dharau zikawa nyingi sikujua kumbe ndio kashapata huyo fala. Huyo jamaa anafanya business ya madini ana hela ila mshamba wa chupi.Sasa atalipaje na Mengi alishafariki!?
Serikali ingejionheza tu kuwa hawa wanawake wanaojifanyaga wamefanikiwa huwa kuna wanaume wanaosimamia mafanikio yao!!
Mie huwa nashangaa sana hata wale wanaojiita
Malikia wa nguvu kumbe nguvu nyingi huwa ziko viunoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππππKweli kabisa, umenikumbusha kuna ka mamz kangu kamoja baada ya kuona koki ya hela nimemfungia akapata boya mwengine ambaye anatuma hela kila anapopigwa mzinga. Dharau zikawa nyingi sikujua kumbe ndio kashapata huyo fala. Huyo jamaa anafanya business ya madini ana hela ila mshamba wa chupi.
Kuja kusanuka nikamchukua maelezo mtoto ni kuwa huyo jamaa alikuwaga anamtaka long time toka enzi yuko mmbichi ila hakuwahi mpenda ila sahivi kamfungulia njia kwa sababu hali ya life ni tete na yeye anakiri anapenda hela sana. Kashachoka anataka aolewe zake na mwanaume wa kumhudumia kila akiwa na shida nikamwambia no sweat, mi kwakuwa na akili timamu siwezi kwama, najua ntapiga K nikitaka ila majukumu mengine atasimamia huyo Boya. Kwangu ikawa nafuu maana nshatoboka sana ila ule mziki nikagundua ni CD700 sitauweza.
Sasa demu anawaza kuja kuwa mwanamke flani hivi kama icon kwa mbeleko maana anapenda maisha ya juu hela hana. Mbaya zaidi akili ya mawazo ya kujenga pia hana. Yuko much on dependance yeye alie shida apewege tu hela ajaze vitu ndani kwake na kuvaa sana bila kusahau kodi ikiisha alipiwe.
Sasa imagine jamaa akioa huyu demu kitakachotokea ni kwamba demu anaweza akapewa life kiuhakika maisha ya kuendesha Rav 4 au Xtrail sio haba. Mbwembwe atakazokuwa nazo ila ukichunguza deep down ni msela kamenyeka ila watu watamuona super woman.π€£π€£π€£π€£π€£