Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....does it matter?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....does it matter?
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....
...ukweli ni kuwa maendeleo yaliyofikiwa bongo si ya kubeza....lakini nataka mjuwe kuwa we could have done more than that.........na ukiwa tanzania unaweza kuona tuna maendeleo kwa kuwa huna pa kulinganishia ...lakini kwa wengi ambao tumebahatika kusafiri...bado ..tunaona kuwa tupo nyuma...na hatujilinganishia na ulaya bali na nchi jirani ..tu..,
kwa kweli sioni kama tuna la kujisifia zaidi...maendeleo ni haki yetu na tulistahuli zaidi.....vinchi vingine vimekuwa vitani na kwenye vurugu zinatupita,,,,whats the problem....!!!!
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....