Bongo Tambarare?

Bongo Tambarare?

...ukweli ni kuwa maendeleo yaliyofikiwa bongo si ya kubeza....lakini nataka mjuwe kuwa we could have done more than that.........na ukiwa tanzania unaweza kuona tuna maendeleo kwa kuwa huna pa kulinganishia ...lakini kwa wengi ambao tumebahatika kusafiri...bado ..tunaona kuwa tupo nyuma...na hatujilinganishia na ulaya bali na nchi jirani ..tu..,

kwa kweli sioni kama tuna la kujisifia zaidi...maendeleo ni haki yetu na tulistahuli zaidi.....vinchi vingine vimekuwa vitani na kwenye vurugu zinatupita,,,,whats the problem....!!!!
 
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....

oh puh-lease Kibs...it doesn't matter...that place is not a landfill and there shouldn't be any garbage anywhere near that skywalk. Don't tell me that's a designated place for people to go throw away their garbage....
 
...ukweli ni kuwa maendeleo yaliyofikiwa bongo si ya kubeza....lakini nataka mjuwe kuwa we could have done more than that.........na ukiwa tanzania unaweza kuona tuna maendeleo kwa kuwa huna pa kulinganishia ...lakini kwa wengi ambao tumebahatika kusafiri...bado ..tunaona kuwa tupo nyuma...na hatujilinganishia na ulaya bali na nchi jirani ..tu..,

kwa kweli sioni kama tuna la kujisifia zaidi...maendeleo ni haki yetu na tulistahuli zaidi.....vinchi vingine vimekuwa vitani na kwenye vurugu zinatupita,,,,whats the problem....!!!!

wewe nawe....maendeleo yaliyofikiwa bongo ni yapi hayo? na unavyosema bongo unamaanisha Tanzania au Dar?
 
Yes Indeed, Jumamosi na Jumapili wengi huwa mapumzikoni, hivyo taka za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mara nyingi huanza kuzolewa Jumatatu....

Hivi kipindupindu huwa na OFF siku za weekend - hakika mnanivunja mbavu - kweli bongo tambarare. Hebu fikiria magonjwa ya kuambukiza huenda mapumzikoni Ijumaa na kurudi Jumatatu !!
 
tusiite bongo tambarare, tuite bongo visingizio,
baadhi ya visingizio
- Wafadhili wamechelewa kutoa fedha walizoahidi.
- madiwani wapo ziarani kukagua shule za msingi.
- huu ni msimu wa maembe kwa hiyo lazima uchafu utakuwa mwingi.
- wakazi wa Manzese ni wachafu, Masaki mbona kusafi.
- Greda la kuzoa uchafu limeharibika, hamna hela za spea.
- Dampo limejaa,sasa tukizoa uchafu huu tukatupe wapi?
- hii ni kazi ya mkuu wa mkoa.
- hii ni kazi ya Meya [ hapa wanaanza kutupiana mpira]
- mbona hata Nairobi ni kuchafu.
- Tunahangaikia migomo ya walimu kwanza.
- tulikuwa busy na ujio wa Bush tukasahau Manzese.
- Tunaacha kuwe kuchafu ili akina JAY-Z wakija tuwalete huku watupe misaada.

What a bunch of c..p!!
 
Mtogole.jpg

This is life for this resident of Tandale kwa Mtogole in Kinondoni, Dar es Salaam, as he rests outside his house surrounded by perennial sewage discharged from neighbouring houses. The picture is similar in most residences in the area, with few signs that the situation will improve any time soon. (Photo: Selemani Mpochi)
 
Taka taka zote hizo, kila kona uswahili ni uchafu tu. Halafu tunajipa matumaini eti bongo tambarare.
 
Back
Top Bottom