...ukweli ni kuwa maendeleo yaliyofikiwa bongo si ya kubeza....lakini nataka mjuwe kuwa we could have done more than that.........na ukiwa tanzania unaweza kuona tuna maendeleo kwa kuwa huna pa kulinganishia ...lakini kwa wengi ambao tumebahatika kusafiri...bado ..tunaona kuwa tupo nyuma...na hatujilinganishia na ulaya bali na nchi jirani ..tu..,
kwa kweli sioni kama tuna la kujisifia zaidi...maendeleo ni haki yetu na tulistahuli zaidi.....vinchi vingine vimekuwa vitani na kwenye vurugu zinatupita,,,,whats the problem....!!!!