Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

[emoji14] hapo juu umeandika unaenda kwa facts!
Sawa kijana wa Darisalama
 
Hahahahaha hivi wewe mtoa mada unajua maana ya pesa chafu? Uliowataja hapo juu wana pesa za kawaida sana. Ww sema ni wasanii wenye maisha mazuri standard sio pesa chafu
 
Hahahahaha hivi wewe mtoa mada unajua maana ya pesa chafu? Uliowataja hapo juu wana pesa za kawaida sana. Ww sema ni wasanii wenye maisha mazuri standard sio pesa chafu
Sure huyu mwandishi anaongea asichokijua. Mtu ana hela za kujikimu anasema anq hela chafu. Wenge huyu mwandishi!!!
 
Hivi masanja ni msanii wa nini...?
 
Nina mashaka na mtoa mada, kama hayupo kiba namba 1 basi bandiko lako ni batili.
 
Kwa kuwa vyombo vya dola vipo na wamo hata humu tusubiri tuone.au kama vp katoe ripoti policd kwan rais keshasema hatavumilia mambo kama haya
 
Ni mgodi au maduara?Maana kama ni kumiliki makarasha basi watu wengi wa usukumani wangekuwa na pesa chafu.Masanja ana mafanikio lakini hili suala la mgodi linahitaji tafakuri.
 
Ni mgodi au maduara?Maana kama ni kumiliki makarasha basi watu wengi wa usukumani wangekuwa na pesa chafu.Masanja ana mafanikio lakini hili suala la mgodi linahitaji tafakuri.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kosa la kutokumuweka Ay limenifanya nisiamini wote hao
 
Nikajua utakuja na fact kama za fobes kuonesha kila mmoja kiwango anachomiliki kumbe ni upuuzi mtupu,akili yako inajua celebrity yupi anatisha ila unatafuta kiki tu hapa.
 
Nikajua utakuja na fact kama za fobes kuonesha kila mmoja kiwango anachomiliki kumbe ni upuuzi mtupu,akili yako inajua celebrity yupi anatisha ila unatafuta kiki tu hapa.
Angefanya utafiti juu ya uzalishaji katika mgodi huo bubu kisha ajue faida inayopatikana then akaanglia na upande wa kila celeb then tupate ukweli.Huenda mwenye mgodi akawa juu but tatizo likawa utafiti.Mimi ninaijua vizuri migodi bubu so inabidi mtu atumie ushahidi wa kutosha ili nimuelewe.
 
Diamond kamzidi Lady Jay Dee kwa hela? haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…