Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

Sijui kama amechunguza kuwa ni kweli masanja anaingiza pesa nyingi kuliko hao wengine.

Alichofanya yeye ni kuassume tu based on hizo materials wanazomiliki.

Au amechunguza A/C zao?
Anasema ni kutokana na hali halisi ilivyo..ndomana akacha na mada hiyo
 
Uchafu tu huu,unakazia mgodi wa dhahabu umeuona? Au unajua mgodi wewe?

Diamond na Masanja wote wana bmw X6 na kwa vigezo vyako hapo ni draw.sababu ukiwa msanii na gari kali basi pesa chafu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

naona wanaume wa darisalama mna chambana wenyewe
 
Jana nilikuwa na erick omond jamaa mwembaba sana aisee
 
Source zenu ni social media ??? au mnajuaje mtu ana pesa chafu kwa mwaka analipa kiasi gani cha kodi? Je vigezo ni kuwa na range rover au x5 sielewi??
 
Yaani jide unamueka chini ya hao wote??? U can't be serous man! Jide Ana mpunga mrefu Sana huyo Dada toka kitambo
 
Halafu huwa sipendi katika ishu ya diamond MTU amtolee mfano king ,mbona hamsemi kina Mr blue au chege au dully waloanza mziki kabla kiba, halafu huyo diamond mbona hujaweka vyanzo vyake vya mapato Kama ulivoweka kwa masanja au diamond anategemea mziki?! Basi Kama ni hivo tuamini na masanja uchungaj na comedy vinalipa, hela Ina siri kubwa jinsi inavotafutwa nyie kaeni hapo mnashadadia et fulan Ana hela zaidi ya huyu anajituma? ? Ila Mungu ndo anaejua siri ya pesa zao wote, ila kwamm roho yangu inagoma kuamini kwamba hawa watu pesa zao ni za halali, [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tchaoo
 
Sijui kama amechunguza kuwa ni kweli masanja anaingiza pesa nyingi kuliko hao wengine.

Alichofanya yeye ni kuassume tu based on hizo materials wanazomiliki.

Au amechunguza A/C zao?
Jide ndo mama lao
 
Kwani Viki kamata si msanii?
Nasikia pia Ana mgodi wa dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…