Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umetumia hisia zako?? Ok!source ni hali halisi ilivyo au ulitaka iwe bbc
Sijui kama amechunguza kuwa ni kweli masanja anaingiza pesa nyingi kuliko hao wengine.Source ya hii habari ni wewe mwenyewe?
Anasema ni kutokana na hali halisi ilivyo..ndomana akacha na mada hiyoSijui kama amechunguza kuwa ni kweli masanja anaingiza pesa nyingi kuliko hao wengine.
Alichofanya yeye ni kuassume tu based on hizo materials wanazomiliki.
Au amechunguza A/C zao?
[emoji23][emoji23][emoji23]Uchafu tu huu,unakazia mgodi wa dhahabu umeuona? Au unajua mgodi wewe?
Diamond na Masanja wote wana bmw X6 na kwa vigezo vyako hapo ni draw.sababu ukiwa msanii na gari kali basi pesa chafu.
Jide ndo mama laoSijui kama amechunguza kuwa ni kweli masanja anaingiza pesa nyingi kuliko hao wengine.
Alichofanya yeye ni kuassume tu based on hizo materials wanazomiliki.
Au amechunguza A/C zao?
Umeshtuka kumuona muuza haramu ktk list?mhhh