Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

Weka bank statements zao na si porojo....pesa chafu kwa kupiga picha na gari?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comments za mgodi wa Masanja zimenichekesha ila hii kiboko!
Haha ni swali la msingii..kimgodi gani hiko labda anachukua magwangala anasafisha [emoji23] [emoji23]
 
Wakati mwingine nashindwa kuelewa watu wanaupimaje utajiri...

Nadhani haya ni maoni ya mtoa mada...kwa kuwa source ya habari ni yeye mwenyewe.....

All in all napongeza juhudi za huyu kijana katika kuyapigania mafanikio....na kweli amepiga hatua kubwa sana...kimaisha ukilinganisha na vijana wengine.....

HARD WORK PAY.....
 
Hata mimi nina pesa chafu..Haunijui tu ndugu
 
Kiboko ya wote hapo ni kiba.
 
Hivi Mo sio celebrity?, Samatta je? na vipi kwa Hasheem?Tafsiri yako ya neno celebrity ni ipi?
 
Ushahidi wa kujua mapato ya mtu na utajiri wake ni jinsi anavyolipia kodi mapato yake je hao kwenye orodha ya walipa kodi wamo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…