Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

Namimi nitazchafua pesa zangu ili ziwe chafu namimi niingie katika orodha hiyo
 
Naamini D akitoa hit song nyingine. hyo na Neyo.. anarudi kwenyr namba 1
 
Wanajitahidi,japo gari sio kipimo cha utajiri,weka vitega uchumi vya kuonekana,kilimo cha mpunga sawa lakini unamwingizia bei gani,kama kaingiza milioni 20 kwenye mpunga wakati hiyo ni show moja tu ya diamond,bado sana.
Mgodi sio mgodi kivile,wale ni wachimbaji wadogo wadogo hawana uhakika wa kutengeza hata m 100 kwa mwezi
 
mbona hujaongelea acount za benk vp kuhusu ushahid wa malipo koz wasanii wanaishu ya kuongeza 000 kwenye pesa....mwisho iyo taarifa umeitoa wap au kichwan mwako namaanisha ushahid/fact zako zimeegemea kuamin kila unachosikia na kuona.
 
Mbona umekomaa kutuaminisha au hii ni sehemu ya kazi yako, weka ushahidi usio na shaka, how come kimwendo kasi namna hii yaani leo photo ndio critical evidence, unapo mprove mtu unatakiwa uwe na ushahidi usio na shaka wa kuthibitisha sio mambo ya amini usiamini, namwamini MUNGU na wazazi wangu pekee.
 
Jide doesnt deserve that position asee ilikuwa zaman ila kwasasa anahela ya kawaida,afu pia MOND anadeserve nafasi ya kwanza >>chanzo>forbes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…