mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Hata Msagasumu ni celebHivi Mo sio celebrity?, Samatta je? na vipi kwa Hasheem?Tafsiri yako ya neno celebrity ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Msagasumu ni celebHivi Mo sio celebrity?, Samatta je? na vipi kwa Hasheem?Tafsiri yako ya neno celebrity ni ipi?
HujuiPesa chafu ndo kitu gani?
Sijui, nifafanulie.Hujui
Haahaha jf kiboko...mkuu salutePesa chafu kama hiziView attachment 393220
za madawa ya kulevya.Pesa chafu ndo kitu gani?
duuuh ni satire auNina mashaka na mtoa mada, kama hayupo kiba namba 1 basi bandiko lako ni batili.
wanasrmaga ukitaka kuongea kitu na watu wakuamini ongea kwa ushahidi na facts za ukweli, nisikuchoshe msomaji wa mada naenda direct kwenye kukujuza celebrities top 3 ya wasanii wenye pesa utitiri bongo
Number 1: Masanja mkandamizaji-
![]()
Mgodi wa dhahabu Wa Masanja huko geita:
Najua wengi kwa haraka haraka mlidhani hii namba itakuwa ni ya Diamond lakini La hasha, Masanja ni comedian maarufu Tanzania aliyewekeza kwenye miradi ya mpunga huko mbeya na pia anamiliki mgodi wake wa dhahabu,
Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga, wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu, Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points, Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. hii pia imethibitishwa pale ambapo huyu bwana ana bmw x6 model ya kisasa na yenye bei kali kuzidi la mpinzani wake diamond platnumz
Number 2: Diamond platnumz-
![]()
Bongo tunamuita simba ila Afrika wanamuita king of pop, Hakuna msanii Bongo anayelipwa pesa nyingi kwa show moja kama Diamond, Kumekuwa na wasanii wenzake kama kina Ali kiba, Christian bela, n.k waliofanya mziki muda mrefu kuzidi yeye lakini kumkuta kimafanikio sio leo, Mafanikio hayaongelewi bali yanaonekana kijana ana nyumba yake nzuri madale na pia amewekeza katika kununua nyumba , pia kwa sasa ana label ya WCB ambayo amini usiamini inamuingizia pesa kila kukicha.
Number 3: Lady jay dee:
![]()
Miaka nenda rudi wasanii wenzake wanamkuta na wanamuacha, Kipaji anacho nauzuri wake kinamuingizia pesa za kutosha, ukiachana na muziki pia ni mjasiria mali ambae biashara zake zinamuingizia pesa chafu, Dada anamiliki ndinga matata range rover evoque model ya kisasa ambayo ni ndoto za mchana kwa wasanii wa kawaida