Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

Bongo: Top 3 Celebrities wenye pesa chafu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
wanasrmaga ukitaka kuongea kitu na watu wakuamini ongea kwa ushahidi na facts za ukweli, nisikuchoshe msomaji wa mada naenda direct kwenye kukujuza celebrities top 3 ya wasanii wenye pesa utitiri bongo

Number 1: Masanja mkandamizaji-
masanja98-jpg.392557

Mgodi wa dhahabu Wa Masanja huko geita:

Najua wengi kwa haraka haraka mlidhani hii namba itakuwa ni ya Diamond lakini La hasha, Masanja ni comedian maarufu Tanzania aliyewekeza kwenye miradi ya mpunga huko mbeya na pia anamiliki mgodi wake wa dhahabu,
Ni watu ambao hawana akili pekee watabeza juhudi za Masanja....Wakati mnapiga kelele mjini yeye yuko porini analima mpunga, wakati mnashinda vijiweni yuko polini anatafuta dhahabu, Wakati mnakula KFC yeye yuko busy anauza wali nyama na sahivi kafungua Burger points, Mwisho wa siku mnapiga kelele sijui unga sijui nini. hii pia imethibitishwa pale ambapo huyu bwana ana bmw x6 model ya kisasa na yenye bei kali kuzidi la mpinzani wake diamond platnumz

Number 2: Diamond platnumz-
diplatz-jpg.392558

Bongo tunamuita simba ila Afrika wanamuita king of pop, Hakuna msanii Bongo anayelipwa pesa nyingi kwa show moja kama Diamond, Kumekuwa na wasanii wenzake kama kina Ali kiba, Christian bela, n.k waliofanya mziki muda mrefu kuzidi yeye lakini kumkuta kimafanikio sio leo, Mafanikio hayaongelewi bali yanaonekana kijana ana nyumba yake nzuri madale na pia amewekeza katika kununua nyumba , pia kwa sasa ana label ya WCB ambayo amini usiamini inamuingizia pesa kila kukicha.

Number 3: Lady jay dee:
lady-jay-de-jpg.392559

Miaka nenda rudi wasanii wenzake wanamkuta na wanamuacha, Kipaji anacho nauzuri wake kinamuingizia pesa za kutosha, ukiachana na muziki pia ni mjasiria mali ambae biashara zake zinamuingizia pesa chafu, Dada anamiliki ndinga matata range rover evoque model ya kisasa ambayo ni ndoto za mchana kwa wasanii wa kawaida
 
Attachments

  • masanja98.jpg
    masanja98.jpg
    40.8 KB · Views: 553
  • diplatz.jpg
    diplatz.jpg
    24.1 KB · Views: 416
  • lady jay de.jpg
    lady jay de.jpg
    31.6 KB · Views: 459
Uchafu tu huu,unakazia mgodi wa dhahabu umeuona? Au unajua mgodi wewe?

Diamond na Masanja wote wana bmw X6 na kwa vigezo vyako hapo ni draw.sababu ukiwa msanii na gari kali basi pesa chafu.

Mgodi wa dhahabu Wa Masanja huko geita:

Usidhani bmw x6 IPO ya aina moja, kuna ya 2004, 2006, etc ...hapa ni facts tu
 
wanasrmaga ukitaka kuongea kitu na watu wakuamini ongea kwa ushahidi na facts za ukweli, nisikuchoshe msomaji wa mada naenda direct kwenye kukujuza celebrities top 3 ya wasanii wenye pesa utitiri bongoWa

Number 1: Masanja mkandamizaji-
masanja98-jpg.392557

Najua wengi kwa haraka haraka mlidhani hii namba itakuwa ni ya Diamond lakini La hasha, Masanja ni comedian maarufu Tanzania aliyewekeza kwenye miradi ya mpunga huko mbeya na pia anamiliki mgodi wake wa dhahabu, NARUDIA TENA!!! MGODI WA DHAHABU, hii pia imethibitishwa pale ambapo huyu bwana ana bmw ya kisasa na yenye bei kali kuzidi la mpinzani wake diamond platnumz

Number 2: Diamond platnumz-
diplatz-jpg.392558

Bongo tunamuita simba ila Afrika wanamuita king of pop, Hakuna msanii Bongo anayelipwa pesa nyingi kwa show moja kama Diamond, Kumekuwa na wasanii wenzake kama kina Ali kiba, Christian bela, n.k waliofanya mziki muda mrefu kuzidi yeye lakini kumkuta kimafanikio sio leo, Mafanikio hayaongelewi bali yanaonekana kijana ana nyumba yake nzuri madale na pia amewekeza katika kununua nyumba , pia kwa sasa ana label ya WCB ambayo amini usiamini inamuingizia pesa kila kukicha.

Number 3: Lady jay dee:
lady-jay-de-jpg.392559

Miaka nenda rudi wasanii wenzake wanamkuta na wanamuacha, Kipaji anacho nauzuri wake kinamuingizia pesa za kutosha, ukiachana na muziki pia ni mjasiria mali ambae biashara zake zinamuingizia pesa chafu, Dada anamiliki ndinga matata range rover evoque model ya kisasa ambayo ni ndoto za mchana kwa wasanii wa kawaida
Wawe makini na snsomaeerf wasije wakaishia kama akina Kanumba,Michael, Fifty Cent nk.Nina amini ipo nguvu fulani ya mafanikio nyuma yao kama ilivyokuwa kwa hao!
 
Mgodi wa dhahabu Wa Masanja huko geita:

Usidhani bmw x6 IPO ya aina moja, kuna ya 2004, 2006, etc ...hapa ni facts tu

Haya toa hizo fact!

Naona Utajiri wa Mond umeweka Picha yake [emoji14] umekosa kuweka Vitega uchumi vyake?
Tuwekee hizo fact...mfano Hizo nyumba kwa kutuwekea na hati zao.

Alafu ninavyofahamu Pesa chafu ni ile inayopatikana kwa njia isiyo halali, sijui una maana nyingine ndugu mwandishi?
 
Wewe sio Mimi hadi uniambie niweke kitu gani, ingepndeza utuwekee ushahidi wa cheti chako cha kuzaliwa ili tujue wewe sio Ndege, karibu mjini utajifunza ya kwamba pesa chafu haina maana moja tu kama ulivyo kijiji ulichotokea wajanja wa town walishansoma
 
Back
Top Bottom