Bongo uaminifu na kuaminiana waislamu wako mbali sana

Nasubiri waje na hoja sio pinga pinga tu
Wala sio uongo kwa uaminifu wengi tuko vizuri
Niliachiwa kampuni na jamaa akaenda Orlando aliporudi alikuta nimeuza mara mbili yake
Mpaka leo ni rafiki yangu mkubwa sana na anasemaga uaminifu wako umezidi kiwango

Kufanya kazi na wahindi, wasomali na waarabu au hata wazungu ni bora kuliko wabantu tena wanaojiita wasomi waliosoma wakidhani msomi lazima awe mwizi
 
Sahii kabisa
Wakristo wengi uaminifu Changamoto Sana, binafs nikifanya dili na shehe yoyote nakua na amani Sana[emoji4]
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu.

Mashehe hongereni kwa kuupiga

Wale wenzangu na mm basi twendelee kufanya vizuri kule tufanyako vyema maana naamini hatuna mabaya tuu.
Nextime na sie tusifiwe kwenye yale mengine.
 
Sahii kabisa
Wakristo wengi uaminifu Changamoto Sana, binafs nikifanya dili na shehe yoyote nakua na amani Sana[emoji4]
Je hauoni wakufanana na sheikh ni mchungaji? Je ushawahi kufanya biashara na mchungaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…