mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwanza wanamuogopa mungu,mbili wanajua kutuma makombora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli...Binafsi Ni mkristo mkatoliki na Niko kwny biashara Zaid ya miaka 18 sasa
Ila kiukweli jamii ya waislamu hasa wa Zanzibar, somali au bara wale wazee wa swala 5 Ni waaminifu sijapata kuona.
1. Kuna msomali mmoja mwaka 2008 ile bado mchanga biashara, hanijui simjui ndo mara ya kwanza nanunua mzigo kwake, ila aliniamini akanikopesha mzigo wa pesa ndefu kwamba nikishauza ntamtumia pesa zake. Kweli nikamrejeshea kwa uaminifu na tunafanya biashara vizur Hadi leo. Hatujawai dhurumiana hata Senti.
2. Kuna mpemba mmoja ni nafanya nae biashara yuko nje ya nchi mwaka wa 4 huu, simjui hanijui, Zaid ya calls na chats kupitia wasap, nilitumiwa TU namba kupitia mtu baki, ila uwa namtumia pesa ananitumia mzigo na mizigo mingine ananikopesha. Tunafanya biashara Safi kwa upendo wa Hali ya juu utadhani mtu na ndugu Yake.
3. Kuna ustadh mmoja msambaa anamiliki mpesa matawi kibao Hapa k'koo mengine kibaha na mbezi . Ila matawi yote mengine yanayosoma till za jina lake, kaweka mashehe wenzie waliokutana na kufahamiana mskitini na wanayamiliki na kuendesha 100% ili kutunza familia zao. Ustadh yeye kabaki na matawi 2 tu anayoyamiliki 100%.
4. Kuna mfanyabiashara mwenzangu Ni mrangi wa dodoma ila Ni shehe swala 5. Yeye tangu nimjue hajawahi kukopa pesa ya riba benki yoyote Hapa nchini, kwake riba Ni haramu.
Akiwa na shida na pesa au mtaji umeyumba anaazima kwa mashehe wenzie uko mskitini na kurejesha Kama zilivyo.
5. Kuna mwislam mmoja mrangi Yuko Moro, nmemtumia sana kipind flan nafanya biashara ya nafaka. Huyu Tumejuana TU barabarani Tena kijiwe Cha draft, nikawa namtumia pesa ananikusanyia nafaka na kupakia kwny fuso na kunitumia dar. Ila mpaka naacha ile biashara, hajawahi nidhurumu hata Senti moja. Tuna maelewano mazur Hadi Leo.
6. Mwingine Ni shehe mmoja msomali agent binafs wa magari used yuko japan, ila ana wateja wengi Tanzania ,Zambia Hadi Uganda na Congo. Mteja analipia,gari inasafirishwa Hadi Uganda,Zambia kwa uaminifu mkubwa.
Anasifiwa Sana uaminifu kule kwny uzi wa magari used japan.
7. Mwingine Ni mpemba mmoja shehe anajiita Abdulwahid Yuko zanzibar anauza tv Toka Dubai, anasifiwa Sana kwa uaminifu kule Uzi wa wauza tv. Nami pia nishafanya nae biashara,hanijui simjui, Nikamtumia pesa ndefu akanitumia mzigo wangu Safi kabisa nikaupata Bila longolongo.
Mifano Ni mingi Sana,
Ila nikiri waislamu wako mbali Sana kwenye suala zima la uaminifu.
Nawasilisha[emoji1431]
Imani, hayo ni masomo muhimu watoto wanfundishwaKutokuwa mwaminifu ni tabia ya mtu haina uhusiano na imani ya mtu
HUyajui mkuuuuMadubwasha gani Ayo[emoji848]
Nipo hpa zenji kma untka kweli ni PMHawa watu
Kuhusu auminifu kwakweli tuseme lingine
Nifanyie mpango nimpate mmoja nimwagize mpira Zanzibar kwajili ya umwagiliaji
Kwanini umtongoze?!Amna sio ivo maana uyo mke ni mtu sio kitu anajua aliyendalo itabaki kua zambi.
Hapo Kariklakoo unamfahamu JB mkuu?Binafsi Ni mkristo mkatoliki na Niko kwny biashara Zaid ya miaka 18 sasa
Ila kiukweli jamii ya waislamu hasa wa Zanzibar, somali au bara wale wazee wa swala 5 Ni waaminifu sijapata kuona.
1. Kuna msomali mmoja mwaka 2008 ile bado mchanga biashara, hanijui simjui ndo mara ya kwanza nanunua mzigo kwake, ila aliniamini akanikopesha mzigo wa pesa ndefu kwamba nikishauza ntamtumia pesa zake. Kweli nikamrejeshea kwa uaminifu na tunafanya biashara vizur Hadi leo. Hatujawai dhurumiana hata Senti.
2. Kuna mpemba mmoja ni nafanya nae biashara yuko nje ya nchi mwaka wa 4 huu, simjui hanijui, Zaid ya calls na chats kupitia wasap, nilitumiwa TU namba kupitia mtu baki, ila uwa namtumia pesa ananitumia mzigo na mizigo mingine ananikopesha. Tunafanya biashara Safi kwa upendo wa Hali ya juu utadhani mtu na ndugu Yake.
3. Kuna ustadh mmoja msambaa anamiliki mpesa matawi kibao Hapa k'koo mengine kibaha na mbezi . Ila matawi yote mengine yanayosoma till za jina lake, kaweka mashehe wenzie waliokutana na kufahamiana mskitini na wanayamiliki na kuendesha 100% ili kutunza familia zao. Ustadh yeye kabaki na matawi 2 tu anayoyamiliki 100%.
4. Kuna mfanyabiashara mwenzangu Ni mrangi wa dodoma ila Ni shehe swala 5. Yeye tangu nimjue hajawahi kukopa pesa ya riba benki yoyote Hapa nchini, kwake riba Ni haramu.
Akiwa na shida na pesa au mtaji umeyumba anaazima kwa mashehe wenzie uko mskitini na kurejesha Kama zilivyo.
5. Kuna mwislam mmoja mrangi Yuko Moro, nmemtumia sana kipind flan nafanya biashara ya nafaka. Huyu Tumejuana TU barabarani Tena kijiwe Cha draft, nikawa namtumia pesa ananikusanyia nafaka na kupakia kwny fuso na kunitumia dar. Ila mpaka naacha ile biashara, hajawahi nidhurumu hata Senti moja. Tuna maelewano mazur Hadi Leo.
6. Mwingine Ni shehe mmoja msomali agent binafs wa magari used yuko japan, ila ana wateja wengi Tanzania ,Zambia Hadi Uganda na Congo. Mteja analipia,gari inasafirishwa Hadi Uganda,Zambia kwa uaminifu mkubwa.
Anasifiwa Sana uaminifu kule kwny uzi wa magari used japan.
7. Mwingine Ni mpemba mmoja shehe anajiita Abdulwahid Yuko zanzibar anauza tv Toka Dubai, anasifiwa Sana kwa uaminifu kule Uzi wa wauza tv. Nami pia nishafanya nae biashara,hanijui simjui, Nikamtumia pesa ndefu akanitumia mzigo wangu Safi kabisa nikaupata Bila longolongo.
Mifano Ni mingi Sana,
Ila nikiri waislamu wako mbali Sana kwenye suala zima la uaminifu.
Nawasilisha[emoji1431]
Ni kweliKenge kati ya mamba...hata huku kwetu ambako tunatuhumiwa upigaji sio kwamba ni wote
Mimi nimepigwa sana na wagalatia wa vijijini kwenye mashamba.Next time utuletee uzi ulivyopigwa na wagalatia.