Bongo uaminifu na kuaminiana waislamu wako mbali sana

Ukweli mtupu. Mimi waislamu karibu wote nilioanza nao kufanya kazi 2011 tuko vizuri hadi leo. Wengine tumekuwa kama familia
Sahii kabisa mkuu
Mashehe wanaheshimu Sana Makubaliano
Binafs pia Ni wachache Sana tumevurugana
 
Kuna ukweli...
 
From my experience, Ukianza biashara na mtu unanunua kwake na ukawa na trend nzuri kibiashara na mkazoeana na yeye akaona wewe ni potential kwenye biashara yake lazima itafika level ya kupeana mizigo ya mamilioni ,hii ipo sana na inafanyika kariakoo etc...lakini huwezi ukawa start up business, mzigo wa kwanza au mwanzoni mtu akupe hakujui ufanyaji wako biashara ni ngumu..Hata mimi na ukristo wangu nikiona commitment ya mtu kwenye biashara naweza mpa mzigo pesa ataleta..
 
Hapo Kariklakoo unamfahamu JB mkuu?
 
Unanikumbusha wakati ndio naingia first year nilikuwa room Moja na mchizi flani hivi ambae dada yake alikuwa mwaka tatu lakin chuo kingine mkoa tuliokuwepo. Yule sister aliekuja room akamwambia ndugu yake jichangane na waislamu ni waaminifu sana watakusaidia.

Mimi nlikuwa nimelala ila usingizi haukinipitia sana nlikuwa nasikia Kila kitu

Yule mchizi Hadi leo tumekuwa na bond kubwa sana

Tumekuwa kama ndugu na hata familia zetu Zina fahamiana

Na huyu mchizi alikuwa akiniamsha swala ya Alfajir huwezi amini

Jamaa ni mgalatia ila kanisani sijui aliua mana hataki kuenda kabisa na ni muaminifu zaidi ya sana.
 
Next time utuletee uzi ulivyopigwa na wagalatia.
Mimi nimepigwa sana na wagalatia wa vijijini kwenye mashamba.
Unamtumia hela apruni miti unachoenda kukikuta ni pori la miti.
Kuna miti yangu sasa ina miaka 8 no prooning.
Kuna mmoja alitutafutia shamba la viazi wife akamkabidhi kaki 9 anunue mbegu. Alinunua za Laki 3 na kuiba mpira mmoja wa kumwagilia akapeleka shambani kwake.
Nikaamua kuondoka kile kijiji 2015. Juzi kati kanopigia eti nimsamehe nirudi kulima kule tena .
Mimi nina kesi nyingi sana ngoja niishie hizo mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…