Bongo usanii mwingi

Mamdogo Amehlo, dada To yeye, shemela Evelyn Salt na mshikaji wangu Bantu Lady mnaitwa huku kuna hoja inahitaji maelezo au majibu yenu..!!
Hakuna ujanja hapo aliofanyiwa. Kumbuka miaka 10 iliyopita, siku ya kwanza mimi nawewe tulivyokutana. Tulikula dinner na kunywa, si kila mtu akarudi kwake?
Sasa kama hakusema baada ya hayo yote kuna kulipa 😂😂😂😂😂 binti asingeenda.
Peterrabbit Ngalikihinja Imeisha hiyooo 🤸‍♀️
 
Sasa he alikua na jambo lake kilichofanya ampeleke mpaka na club ni nini😀😀😀
 
Reactions: 511
Na imeandikwa""Kila Mmoja ataubeba Msalaba Wake Yeye Mwenyewe""###Pambana##
 
Reactions: 511
Nimecheka eti unyofoke nacho khaa....pole sana mkuu, hata sisi huwa tunasema hivyo hivyo "ukipata nafasi ya kumuumiza mwanaume hakikisha unamuumiza mpaka mama yake tumbo la uzazi limuume" ila pole kwa maswahibu
 
Mpaka zipite siku ngapi?
Nishatoa offer sana ya hizo pombe na hivyo vi chips na vikuku, kuna wasichana flani rafiki yangu alimuelewa mmoja wao, huwa anakuja na rafiki zake kama wa 5 wanakunywa pombe hizi wine si chini ya 200k, juzi hapa nimewapeleka national park kwa pesa yangu, kila weekend tunatoka na nalipa bill and its been like 2 months, sijajua wanafikiri vipi lakini nafanya kwa upendo na sijawahi mtongoza yeyote. Kumtoa mtu mfurahi mnywe na kupiga story lazima alipe kwa ngono? Huo ni ushamba kama ushamba mwingine tu.
 
Hapana, unasahau kwamba at first place, NIA YA KUMTOA ILIKUWA NINI..!!! Kama wewe nia yako ni kutoomba mbususu, basi usije ukadhani wenye nia ya kuomba mbususu ni washamba..!! By the way, wanawake walio wengi, HASA WA SASA, ukimtoa out na usiombe mbususu, kichwani mwake kutapita maswali mengi sana..!! La jogoo kutopanda mtungi linaweza kuwa moja ya maswali hayo.
 
Nimecheka eti unyofoke nacho khaa....pole sana mkuu, hata sisi huwa tunasema hivyo hivyo "ukipata nafasi ya kumuumiza mwanaume hakikisha unamuumiza mpaka mama yake tumbo la uzazi limuume" ila pole kwa maswahibu
Kumbe ndio zenu eee🤣
 
Kumbe ndio maana ukajibu vile, rudia kusoma. Huyu Tulikubaliana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…