Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Halafu vijana kama unaomba mzigo msiwe na zile kupinda na vimisemo havielewiki eti kuzindua penzi , we mwambie tukitoka kunywa nataka nikakutomb3, unakuta kwa uoga wako ulimpa taarifa kwa mafumbo hakuilewa code sasa hivi unamfungulia uzi.
Umehamia huku tena 😂
Hiyo kuzindua ni lugha ya jf tu mkuu. Mawasiliano yetu ni black and white,
 
🤣🤣🤣🙌🏾 siamini hii trick bado inatumika in 2023. Kama unampa mtu mpe hii beating around the bush is so old school
Alinikuta siwezi kung'ang'ania mwili wa mtu 😅 kuna siku atakutana na vijana wa plan B, Atajua hajui.
 
Kwani ilikuwa lazima umle siku hiyo yenywewe?

Kama amekuelewa mbona atakutafuta tu mwenyewe.Mambo mazuri huwa hayataki haraka.Kuwa na subira.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kwani ilikuwa lazima umle siku hiyo yenywewe?

Kama amekuelewa mbona atakutafuta tu mwenyewe.Mambo mazuri huwa hayataki haraka.Kuwa na subira.
Alikuja kwa ahadi ya kuliwa na alipanga yeye
 
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]
Fumba macho kula ndogo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Wahuni either tupite ivo ivo au tukanyage tope atachagua
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Tatizo wanaume wengi wakibongo ha tuko directly 😂😂😂 , kama ilikuwa wa kumla kulikuwa hakuna haja ya mambo yote hayo zaid tafuta hotel agizen vinywaji then fanya yako
Kwa hiyo nilikosea kumpa ofa ya dina??
 
Back
Top Bottom