Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Wajinga ndo waliwao

Ulitakiwa ujue kabla ya yote ,kwamba nimkavu na sio anaubichi wa damu
 
  • Thanks
Reactions: 511
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa penzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Hii Imeenda!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma.
Wewe itakua hukumuelewa aliposema
beiby nipo kwenye siku zangu!!
Alikua anamaanisha huu mlango hautumiki Ila kuna mlango wa ziada unajua mlango wa kuingilia ni sawa sawa na mlango wa kutokea tofauti ni muonekano tu emu angalia kwa makini, next time akisema hivyo muulize tutumie mlango wa kutokea maana hua hawasemi moja kwa moja wanasema kwa kujificha kumbe anataka uruke ukuta
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa penzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Hapana si kweli wanawake tunawazidi wanaume maendeleo.
 
Umetumia nguvu na pesa nyingi sana kisa kubang! Wakati kiuhalisia ni simple sana kumaliza kazi popote pale ukijua kucheza na hisia zake.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom