tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Bango lakulia Lia lanini??Aisee
Fanya hivyo mkuu 😂😂Siku hiyo nilikuwa safari mkuu, Ila nitatafuta desa nisome😅
Imeisha hiyo jombaa👍👍Fanya hivyo mkuu 😂😂
Kwa nini sasa nijipe shida za kuhakikisha kwani mimi CAG😂Wajinga ndo waliwao
Ulitakiwa ujue kabla ya yote ,kwamba nimkavu na sio anaubichi wa damu
Nasubiri, siwazi ngono muda wote😁We subiri akuonee huruma, Niko paleee
😂😂 We jifariji, nae hana wazo la kukuhurumia😀Nasubiri, siwazi ngono muda wote😁
Au ni wewe? Umejuaje hana wazo?😂😂 We jifariji, nae hana wazo la kukuhurumia😀
Hii Imeenda!Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa penzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Wapi😅Hii Imeenda!
Eeh pole....... leo hata sielew
Wapi nijeNjoo basi my ssta
Wewe itakua hukumuelewa aliposemaNdio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma.
Alikua anamaanisha huu mlango hautumiki Ila kuna mlango wa ziada unajua mlango wa kuingilia ni sawa sawa na mlango wa kutokea tofauti ni muonekano tu emu angalia kwa makini, next time akisema hivyo muulize tutumie mlango wa kutokea maana hua hawasemi moja kwa moja wanasema kwa kujificha kumbe anataka uruke ukutabeiby nipo kwenye siku zangu!!
Ndio mieWewe huyo😅
Wewe sio Sungura aseeAiseee, 😅 mimi siruki ukutani kwamwe
Hayo hayo mashimo mnayoyachimba mwambie shimo hili limezibwa tupite shimo lingine ? Ukila mikofi usinitajeRabbit hana tabia za kuruka ukuta😂🐰, tunachimba mashimo tu
Mbona unawahi kuji defend 😂😂Hayo hayo mashimo mnayoyachimba mwambie shimo hili limezibwa tupite shimo lingine ? Ukila mikofi usinitaje
Hapana si kweli wanawake tunawazidi wanaume maendeleo.Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa penzi letu.