π³π³π³π³π³Kuweni waakweli tu
Na kuja ila Niko p, ili nijue kabisa kuwa leo ni charity tuπ
ππ³π³π³π³π³
Charity!!! Kwani kuna biashara mlikuwa mnafanya?
Hatukwenda dina ili nimle, alipanga nimle siku hiyo kabla ya mimi kutaka twende dina.Nafikili mwana ndio unazingua, Mbunyanga ipo tu ,sipendi kumtoa demu out ili nimle hasa siku za mwanzo
Pole sana mkuu.Mkuu ni sehemu ya starehe tu, pia shepu yake ilinifanya nipambane ili nile vizuri. Kumbe looo
Pamoja sana πPole sana mkuu.
Ziiiiiiiiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamaniβ¦
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rose maneno gani haya ?
Pole. Pangeni siku nyingineTulikubaliana na tarehe akapanga yeye ili tuzindue, kwa nini anitapeli sasa [emoji29]
[emoji848]Ewaaaa[emoji23] ni swala la kujiongeza tu....
Asante sana πPole. Pangeni siku nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si ndio rose ulie tula hela zetu humu wanaume wenzio?
nimeropoka tu π[emoji848]
Mwanaume hasusi we vipi bwanaAsante sana [emoji29]
Nimemsusia, sitaki tena[emoji28]
Msameheni tuπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuchapanimeropoka tu [emoji28]
Mbona unajitetea wewnimeropoka tu π
[emoji16][emoji16]Msameheni tu[emoji23]
dunia inaenda kasi shangazi, hizi ndo fasheni πNitakuchapa
NikumbusheUnakumbuka