Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Nafikili mwana ndio unazingua, Mbunyanga ipo tu ,sipendi kumtoa demu out ili nimle hasa siku za mwanzo
Hatukwenda dina ili nimle, alipanga nimle siku hiyo kabla ya mimi kutaka twende dina.
 
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]
Ziiiiiiiiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii kitaalamu tunaitaje? Atoto
 
Back
Top Bottom