Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]