Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na hata ndani ya wiki unaweza kuwa na app yako tayari, tena ya standard ya hali ya juu. Nimeona site kama codecanyon app zinauzwa hadi dola 30. 40 nk.
Mambo ya kuhangaishana na programmers wa bongo ni michosho sana.
Mambo ya kuhangaishana na programmers wa bongo ni michosho sana.