Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Ni jambo jema, tunaichukua hiiSiku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na hata ndani ya wiki unaweza kuwa na app yako tayari, tena ya standard ya hali ya juu. Nimeona site kama codecanyon app zinauzwa hadi dola 30. 40 nk.
Mambo ya kuhangaishana na programmers wa bongo ni michosho sana.
kinachouzwa hapo ni front-end mzee, back-end inabidi utengeneze wewe mwenyewe au programmer utakayemkodicodecanyon app
Unaongea na muajiri au muajiriwa mwenye ujuzi wake? Okay kwa mimi nilivoelewa ni kuwa unawalenga waajiri wasio na uwezo wa kutengeneza apps. Swali: Baada ya kununua hiyo tempelate na kufanya customization, Je ni nani atakufanyia maintainace au kuongeza na kupunguza feautures. Nani atakufanyia backend kuhakikisha app yako ina function vizuri, etc.. Usichukulie vitu kirahisi rahisi kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na developer kusimamia kazi yako hata kama utanunua tempelate. Na kusema developers wa bongo ni michosho jiulize na wewe unayemwajiri developer, Je unaenda nae sawa kwenye makubaliano na malipo? Au ndo watu weusi hatupendani na hatuaminiani?Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na hata ndani ya wiki unaweza kuwa na app yako tayari, tena ya standard ya hali ya juu. Nimeona site kama codecanyon app zinauzwa hadi dola 30. 40 nk.
Mambo ya kuhangaishana na programmers wa bongo ni michosho sana.