Haloteli ndo mkombozi.Kwa sasa naiona Halotel iko vyema ktk unafuu wa vifurush, na internet wako na kas nzur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haloteli ndo mkombozi.Kwa sasa naiona Halotel iko vyema ktk unafuu wa vifurush, na internet wako na kas nzur
Ebu na wewe kama umekopi sehemu changanya na za kwako. Je, Tsh 10,000 kwa hela ya Kenya ni sh ngapi? Na Je, wanatumia mtandao mmoja tu wa MTN? Je, unaweza kuhitimisha kwa mfano Tanzania mtandao mpya wa Halotel na kusema Tz mitandao ni cheap??????. Think Big. Kwa mfano, Tsh 25,000 ni sawa na ngapi kwa Afrika ya Kusini??????Mara kadhaa utawasikia wabongo wanalalama saaana, kwamba kampuni fulani ya simu, vifurushi vyake ni ghali sana, na hivyo watahamia kwa mpinzani.
Bila shaka wengi wao hawajui kwamba vifurushi vyetu ni bei chee sana. Kuna nchi za Afrika ambazo kupiga simu na kutumia mobile data ni anasa kubwa.
Afrika kusini, ukiwa na MTN huwezi pata 1GB ya wiki 2 kama huna zaidi ya Tsh 25,000/=.
Jirani Kenya, SafariCom wanauza 1GB ya mwezi kama kwa Tsh 10,000/=.
Rwanda 1GB ya wiki MTN wanafanya zaidi ya Tsh 15,000/=.
Wakati Uganda 1GB ya week inauzwa na MTN kwa Tsh 8,000/=.
Hebu linganisha hizo gharama na upatacho Voda, Tigo, Airtel, Halotel na Smart!!!
Tusilalamikie viongozi wetu, kwasababu uchumi wa Tanzania unakua kwa 6%+ wakati ule wa marekani kwa chini ya 2%Mara kadhaa utawasikia wabongo wanalalama saaana, kwamba kampuni fulani ya simu, vifurushi vyake ni ghali sana, na hivyo watahamia kwa mpinzani.
Bila shaka wengi wao hawajui kwamba vifurushi vyetu ni bei chee sana. Kuna nchi za Afrika ambazo kupiga simu na kutumia mobile data ni anasa kubwa.
Afrika kusini, ukiwa na MTN huwezi pata 1GB ya wiki 2 kama huna zaidi ya Tsh 25,000/=.
Jirani Kenya, SafariCom wanauza 1GB ya mwezi kama kwa Tsh 10,000/=.
Rwanda 1GB ya wiki MTN wanafanya zaidi ya Tsh 15,000/=.
Wakati Uganda 1GB ya week inauzwa na MTN kwa Tsh 8,000/=.
Hebu linganisha hizo gharama na upatacho Voda, Tigo, Airtel, Halotel na Smart!!!
Lkn wasiwasi wangu hawa jamaa wanavuna wateja kwanzaHaloteli ndo mkombozi.
We ni mzoefu kweli!!Bora bei yake ingekuwa juu ila ukataji wa hizo GB/MB ukawa mzuri. Si kwa makato haya aisee, GB 1 inaishia kwa muda mfupi sana.
Duhhhhh,kwahiyo tunauziwa GB/MB hewa,Bora bei yake ingekuwa juu ila ukataji wa hizo GB/MB ukawa mzuri. Si kwa makato haya aisee, GB 1 inaishia kwa muda mfupi sana.
Point yako ni ipi?Tusilalamikie viongozi wetu, kwasababu uchumi wa Tanzania unakua kwa 6%+ wakati ule wa marekani kwa chini ya 2%
Mfano wako dhaifu kabisaa...Na haufanani na alichokiongea mtoa mada.kwa hiyo kama Bukoba ndizi ni sh. 50 Dar ikiuzwa sh. 2000 wasilalamike kwa kuwa hazilimwi Dar?
Umeongea kitu cha msingi sana ambacho huyu mleta mada(no doubt ni fisiemu) ana kikosa katika uelewa wake.Unakosea kulinganisha hizo bei bila kuangalia pia pato la watu...kwa mfano pato la mmoja mmoja kwa mwezi katika nchi ulizotaja alifanani kabisa hivyo hata level ya manunuzi inaweza kuwa tofauti kabisa....
Naamini kabisa mfanyakazi wa serikali wa Tz anayelipwa mshahara wa laki 5 hawezi kununua kwa kifurushi cha data huko south na akafurahi...hii kwake inaweza kuwa ni mzigo mkubwa kulingana na pato lake
Kheee.....kwa hiyo kama Bukoba ndizi ni sh. 50 Dar ikiuzwa sh. 2000 wasilalamike kwa kuwa hazilimwi Dar?
Ebu na wewe kama umekopi sehemu changanya na za kwako. Je, Tsh 10,000 kwa hela ya Kenya ni sh ngapi? Na Je, wanatumia mtandao mmoja tu wa MTN? Je, unaweza kuhitimisha kwa mfano Tanzania mtandao mpya wa Halotel na kusema Tz mitandao ni cheap??????. Think Big. Kwa mfano, Tsh 25,000 ni sawa na ngapi kwa Afrika ya Kusini??????
Kwa mfano uliotoa wa ndala maana yake ingekuwa 2000tsh kwa tanzaniaKwanza kutuma pesa kutoka kenya kuja bongo gharama ni nafuu sana kuliko kutuma pesa kutoka bongo kwenda kenya kwa mobile transaction.. hii ni evidence tu kuonesha hayo maelezo yake hayana validity yoyote.
Hiyo Tsh.25,000 ni sawa na 140 rand, pesa ambayo inatosha kununulia ndala za kuogea tu huko afrika ya kusini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kheee.....
Muwe mnalinganisha vinavyofanana.... BUKOBA WANALIMA NDIZI HIVYO BEI HAIWEZI KUWA SAWA NA KUSIKOLIMWA NDIZI.... Hizo MB zinatengenezwa Tanzania?