Sema trained officer kama kweli ameandika hayo maneno na kufanya hivyo basi ameyakanyaga kwa wenzetu hakuna cha trained officer wala do you know who iam ?Safi sana,acha anyoshwe kidogo.
Hapa kipenzi chetu anamuaga sister nani ? Na wakati anaelekea pande zipi kipenzi chetu huyu ?
Hahahahahaaaaa hiyo picha inaitwa the sacred embrace. It is iconic Shia picture from Shia museum Tehran Iran.Hapa kipenzi chetu anamuaga sister nani ? Na wakati anaelekea pande zipi kipenzi chetu huyu ?
Hakika inaumiza ila aendelee kupewa kauli thabiti kipenzi chetuHahahahahaaaaa hiyo picha inaitwa the sacred embrace. It is iconic Shia picture from Shia museum Tehran Iran.
Hapo kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain akimuaga kwa mara ya mwisho kabla ya umauti binti yake kipenzi Sakinah bint Hussain. Zuljanaah Farasi mtakatifu na mnyama aliyebarikiwa kuliko wote akiangalia kwa nyuma kwa huzuni.😭😭😭😭
View attachment 3587602
secretarybird Intelligent businessman Mufti kuku The Infinity Evelyn Salt
adriz de mbusii
Zote hizo ni nchi ngumu 😀😀For your information I have trained in Cuba and Russia … 😂😂😂😂
Kulikua na ulazimabwa kumwambia yote hayo 😂😂😂Zote hizo ni nchi ngumu 😀😀