Kwamba huyu ni mmoja wa watekaji anajaribu kuweka hapa mtego wa panya?Hizi link wana JF muwe mnazichunguza zina Trace watu.wengine ni kikosi maalumu kutafuta watu kama huyu
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA
Nenda kamjibu bongozozo kwenye akauti yake, hayo sio maneno yanguMmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
Nakubaliana na bongo zozo sehemu moja tu kwamba hata mimi sipendi vijana gen Wauawe ,je wafanyaje kuondoa WAHUNI? Inabidi nao Gen Z wajipange kwa mapambano ,wasitoke kinyonge ,watoke na zana kwa ajili ya kupambana na magaidi wa MAMA....msidhani kina kinjekitile walienda na maji tu ,walikuwa na silaha za jadi pia ,hauwezi kupambana na wakoloni kwa bendera au bango! Fita ni fita mura show show afile munu asigale munu.Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
Ushauri mzuri, mwenye masikio na asikie. Thread 'Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali usiwapige Risasi vijana wetu, tuwasaidie!' PostGE2025 - Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali usiwapige Risasi vijana wetu, tuwasaidie!Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
Sawa maandamano yaliyokatazwa ni hatari watu watauliwa tena. Ila bongo zozo itakuaje sasa kurekebisha wizi wa uchaguzi? Samia hajachaguliwa na wala ccm hawajachaguliwa ila wamegawana uongozi kama vile nchi hii ni mali yao. Tunawekaje hali ili uchaguzi urudiweNeno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
Ukisha kuwa mwana siasa automatically unakuwa mnafiki sasa hivi unajifanta kuchukia wizi ulio fanywa na samia lakini kwenye avatar yako umemuweka muasisi wa wizi wa uchaguzi.Sawa maandamano yaliyokatazwa ni hatari watu watauliwa tena. Ila bongo zozo itakuaje sasa kurekebisha wizi wa uchaguzi? Samia hajachaguliwa na wala ccm hawajachaguliwa ila wamegawana uongozi kama vile nchi hii ni mali yao. Tunawekaje hali ili uchaguzi urudiwe
Hiyo video umemsikiliza mpaka mwisho? Kasikilize mpaka mwisho alipomuweka polisi kukataa kutoa kibali cha maandamano kisha nae akapigilia swali je Mapinduzi Zanzibar yalifanyika kwa barua? Ukisikiliza video zake zimenyooka kabisa hayupo upande wa wauaji na ndio maana kajiuzulu ubalozi wa utalii.Anaonekana amesha kuwa compromise, ni kama ametumwa