Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

Pongezi kwao, wengine nao watoe! Alafu haya mawe yasikosekane zikiwepo nyimbo za Mr Nice.

1) Ni wewe - Hardman
2) Mpenzi - Solo Thang
 
Baada ya kukosekana wimbo wa

Darasa ft Ben Pol -maisha na muziki,

basi uzi huu ni batili.

Hauwezi taja nyimbo 3 bora za muda wote huu wimbo ukakosekana kwa jinsi ulivyosumbua mitaa.

Pia nimehuzunika kukosekana wimbo wa Bushoke -Mume bwege
 
Hizi ni za mwisho 2010
 
Nipe tano ndio nyimbo bora ya muda wote ya Bongo Fleva.
" ......kama kurap na kuimba mic na control/
Majani ba beat zito bongo record na scroll/
Nipe tano tukionana......"

Yesu atarudi afu ataenda tena ila hii ndiyo Nyimbo kali.
Na album ya Elimu dunia itabaki kuwa album bora ya mda wote kwangu.

Ukibisha pita hivi, sina mda wa kubishana mtu saiv.
 
Natambua ni kazi ngumu sana kutafuta nyimbo 100 bora katika maelfu ya nyimbo bora tz......... lakini sasa ndio kusema hakuna kabisa wimbo hata mmoja wa mwamba MR NICE?
Au zilivuma tu lakini hazikuwa bora?

Anyway nilidhani ningezikuta na
Dhahabu - Dully ft Joslin & Byser
Natamani - Wakali kwanza
Nilikataa - Top band ft Byser
Nimechezea Bahati - Man X ft Dully
 
Bongo 5 hapa walizingua
 
Wanazimika na yangu perfume
Celina
Nipigie start Thomas
K basil riziki
Mabint wa kibongo by bizman
Wanimaliza by At
 
Back
Top Bottom