RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Bongo 5 hawa sijajua kwa nini hawajawekaSioni macmuga ya Alikiba ? Tatizo Nini hapo
Hizi ni za mwisho 2010Baada ya kukosekana wimbo wa
Darasa ft Ben Pol -maisha na muziki,
basi uzi huu ni batili.
Hauwezi taja nyimbo 3 bora za muda wote huu wimbo ukakosekana kwa jinsi ulivyosumbua mitaa.
Pia nimehuzunika kukosekana wimbo wa Bushoke -Mume bwege
Kabisa wamezinguaRita ya Marlaw ilistahili kuwepo kwenye list
Bushoke - Mume bwege?Hizi ni za mwisho 2010
Bongo 5 walizingua hapaBushoke - Mume bwege?
Hiyo ya 2012 hapo nyingi zinaishia 2010Dushelele....haipo?
Bongo 5 hapa walizinguaNatambua ni kazi ngumu sana kutafuta nyimbo 100 bora katika maelfu ya nyimbo bora tz......... lakini sasa ndio kusema hakuna kabisa wimbo hata mmoja wa mwamba MR NICE?
Au zilivuma tu lakini hazikuwa bora?
Anyway nilidhani ningezikuta na
Dhahabu - Dully ft Joslin & Byser
Natamani - Wakali kwanza
Nilikataa - Top band ft Byser
Nimechezea Bahati - Man X ft Dully
Nini maana ya "of all time"?Hizi ni za mwisho 2010
Wamekosea hawaNini maana ya "of all time"?
OkSina hakika na usahihi wa majina but
101. Adhabu - Q Chief
102. Zoba - Banana Zoro
103. Dhahabu ya kariakoo - Dully
104. Rudi Nyumbani - Joslin sijui na dem gani
105. Bembeleza - Marlow