Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

Rudi Nyumbani utakua umechanga maifaili sio Joslini Bali ni member mwenzake kutoka kundi la wakali Kwanza, Makamua aliimba na Enika (sijui demu gani [emoji1787]) umenifurahisha Sana hapo
wachache sana kumjua enika
 
Umeisahau Barua ya Daznundazi

Hii ngoma achana nayo mzee yaani inaniskitisha na kunikumbusha kipindi hicho kwa wakati mmoja.
 
Kuna wagosi wa kaya nyimbo yao ya walimu...walimu tuna hali ngumu...

Kuna wauguzi...(wauguzi..wauguzi...daktari na manesi wauguuuzi).

Ladies free ya Dully sykes
 
Kuna ile nyimbo sijui ya ino maik inasikitisha sana...hata siikumbuki vizuri

Kuna Hardman na John Walker ....umsikini huu

Dataz na Joe- mume wa mtu (tapeli)
 
Kylin- crazy over you

You know I'm crazy over you 🤪
Crazy over you 🤪
 
Q chief- nitampata wapi kama yule
Mwenye tabasamu kama lileee
Nimpende anipende
Awe wangu maishani
Shida zake ziwe zangu, shida zangu ziwe zake

All starz-usione soo, sema naye (humo ndiyo nilimjua Rah P).
 
Pnc na Mr. Blue-Mbona

Matonya-Dunia mapito

Mad ice- baby girl

Juma nature na Rich- Masela hatuna kitu ( tunapokuwa masikani masela hatuna kituuu...sisi) nature ni hatari mzee
 
Nataka niuhifadhi huu uzi. Someone reply to me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…