Bongofleva: 5 Biggest Losers and Winners

Hivi kupunguza kujishughulisha na music unageuka kuwa loser? Nadhani Nature na Dudu Baya watoe kwenye hiyo list.
Ni kama hawajishughulishi na muziki.
 
Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi

etc
Kabisa mkuu!! Dudu Baya alikuwa ni heavyweight kwenye Bongofleva katika kipindi chake..
 
Hivi kupunguza kujishughulisha na music unageuka kuwa loser? Nadhani Nature na Dudu Baya watoe kwenye hiyo list.
Ni kama hawajishughulishi na muziki.
Dudu Baya amehamishiwa kwenye 'honorable mentions' lakini nature naona bado anaendelea kufanya mziki lakini anashindwa kurudi kwenye levels..
 
Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi

etc
Hata mi nilitaka nishamgae dudubaya alianza kusumbua Sana na hiyo mwanangu huna nidhamu miaka 2007 akarudi na nyimbo amevaa manguo meusi ya kitamaduni halafu baada ya hapo akapotea yaani.
 
Jamaa alikuwa shida, nakumbuka 2003 wakati Mr Nice ametoka na album ya Rafiki, kukiwa na nyimbo kama Bata Kapanda Baskeli, Rafiki, Fagilia etc ni Dudu Baya pekee aliyefanya compe kwa kushusha kitu cha Mpenzi.

Noma sana Dudu Baya.
 
Kabisa!! Dudu Baya pekee ndiye aliweza kuweka uzito kwenye mzani ili mziki wote usiegemee kwa Mr. Nice pekee kipindi kile..
 
Nakumbuka kipindi kile magari yanayotangaza disco ilikuwa ni either kupiga Mpenzi au Bata Kapanda Baskeli! Dah, noma sana enzi zile.

Hapo Starehe ya Feruzi ilikuwa bado haijatoka kuja kupoteza.
 
Walikuwa wameubalance vizuri sana mziki! Lile goma la mpenzi ingekuwa ndio kipindi hiki aisee sipati picha balaa lake lingekuwaje..
 
Kuna hawa wengine Nurueli, Joseline, Makamua (sina uhakika na jina) O ten, GK, Steve r nb, Jose Mtambo,Mark T Mnyaru, Mr paul,Man Dojo na Domo Kaya,Daz Baba, Mabaga Fresh, University corner,sould ground family, Suma G, na wengine wengi.
 
Hao walisumbua lakini ilikuwa sio kivile, nimemuona GK tu hapo labda anastahili kuwemo kwenye 'honorable mentions'
 
vipi kuhusu Pasha? , Joan, zey b , sister P, mad ice , Fatma na kaka ake wa baby Tamala, unique sisters , aliyeimba kidato kimoja, Gerry wa rymes , etc
 
Kushuka kwa 20% ndo kulishangaza kwani alishuka ghafla bin vuu,kila mtu alijua baada ya kutwaa tuzo 5 jamaa angegandamizia pale lakini ikawa kinyume.Ni sawa na timu kuchukua ubingwa msimu huu na kushuka daraja msimu unaofuata.
 
toka alivyotoka diamond platnum na mbagala tu 2009...

amefanya ufisadi mkubwa sana wa kujimilikisha mziki wote yeye tu.. na kuua wasaniii wote waliobaki...

siku hizi hata msanii atoe nyimbo nzuri.. ila anaongelewa diamond tu na wasafi yake..

mwana fa, gk, ferooz, dudu baya, mr blue hawana hamu na diamond platnumz

hii ndio inaitwa monopoly of the industry..

leo hadi lady jaydee anatumia nguvu nyingi kutoboa.. sabab diamond kajimilikisha game lote..

akifanya hata wimbo wa tangazo kama voda au tomato.. kila mtu anauimba na kuucheza pia wanaucheza...

ukienda harusi yeyote tanzania ni nyimbo za diamond tu watu wanachezaaa.. mara ngololo, mara sankoro.... yaani la balaa huyu mtoto..

juma nature hana hamu na diamond
 
Hata Mark t Mnyaru hafai ???
Mkuu kumbuka tunaongelea losers, Mnyalu alifanya poa sana... Lakini nahisi hakuporomoka kimuziki kutokana na kuishindwa gem, la hasha nadhani kipindi kile alipoamua aachane na muziki ajikite zaidi kwenye ajira yake Airtel ndio pale akipopoteza Chanel za kimuziki
 
vipi kuhusu Pasha? , Joan, zey b , sister P, mad ice , Fatma na kaka ake wa baby Tamala, unique sisters , aliyeimba kidato kimoja, Gerry wa rymes , etc
Mkuu tuwaangalie wale ambao walitikisa hasa kiwanda cha Bongofleva, sasa kama huyo aliyeimba kidato kimoja albahatishaga nyimbo moja tu..
 
Mkuu kumbuka tunaongelea losers, Mnyalu alifanya poa sana... Lakini nahisi hakuporomoka kimuziki kutokana na kuishindwa gem, la hasha nadhani kipindi kile alipoamua aachane na muziki ajikite zaidi kwenye ajira yake Airtel ndio pale akipopoteza Chanel za kimuziki
Nimekusoma kula like 1,000,000,000.
 
Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi

etc
hahahah wimbo wa taifa
 
VIP unamweka wapi mwana F.A , ???
Naona umeongelea Winners bila kugusia Losers kama heading inavyosema
 
Back
Top Bottom