Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu!! Dudu Baya alikuwa ni heavyweight kwenye Bongofleva katika kipindi chake..Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi
etc
Dudu Baya amehamishiwa kwenye 'honorable mentions' lakini nature naona bado anaendelea kufanya mziki lakini anashindwa kurudi kwenye levels..Hivi kupunguza kujishughulisha na music unageuka kuwa loser? Nadhani Nature na Dudu Baya watoe kwenye hiyo list.
Ni kama hawajishughulishi na muziki.
Hata mi nilitaka nishamgae dudubaya alianza kusumbua Sana na hiyo mwanangu huna nidhamu miaka 2007 akarudi na nyimbo amevaa manguo meusi ya kitamaduni halafu baada ya hapo akapotea yaani.Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi
etc
Hata mi nilitaka nishamgae dudubaya alianza kusumbua Sana na hiyo mwanangu huna nidhamu miaka 2007 akarudi na nyimbo amevaa manguo meusi ya kitamaduni halafu baada ya hapo akapotea yaani.
Kabisa!! Dudu Baya pekee ndiye aliweza kuweka uzito kwenye mzani ili mziki wote usiegemee kwa Mr. Nice pekee kipindi kile..Jamaa alikuwa shida, nakumbuka 2003 wakati Mr Nice ametoka na album ya Rafiki, kukiwa na nyimbo kama Bata Kapanda Baskeli, Rafiki, Fagilia etc ni Dudu Baya pekee aliyefanya compe kwa kushusha kitu cha Mpenzi.
Noma sana Dudu Baya.
Kabisa!! Dudu Baya pekee ndiye aliweza kuweka uzito kwenye mzani ili mziki wote usiegemee kwa Mr. Nice pekee kipindi kile..
Walikuwa wameubalance vizuri sana mziki! Lile goma la mpenzi ingekuwa ndio kipindi hiki aisee sipati picha balaa lake lingekuwaje..Nakumbuka kipindi kile magari yanayotangaza disco ilikuwa ni either kupiga Mpenzi au Bata Kapanda Baskeli! Dah, noma sana enzi zile.
Hapo Starehe ya Feruzi ilikuwa bado haijatoka kuja kupoteza.
Umenikumbusha mbali sana, pini kama vile hata kama sipendi nifanye nini , mikono mwa polisivp kuhusu Anko Sugu.unaikumbuka ile "nikianguka sitoweza kuinuka"au "ana miaka si chini ya kumi na nane".
Hao walisumbua lakini ilikuwa sio kivile, nimemuona GK tu hapo labda anastahili kuwemo kwenye 'honorable mentions'Kuna hawa wengine Nurueli, Joseline, Makamua (sina uhakika na jina) O ten, GK, Steve r nb, Jose Mtambo,Mark T Mnyaru, Mr paul,Man Dojo na Domo Kaya,Daz Baba, Mabaga Fresh, University corner,sould ground family, Suma G, na wengine wengi.
Hata Mark t Mnyaru hafai ???Hao walisumbua lakini ilikuwa sio kivile, nimemuona GK tu hapo labda anastahili kuwemo kwenye 'honorable mentions'
Mkuu kumbuka tunaongelea losers, Mnyalu alifanya poa sana... Lakini nahisi hakuporomoka kimuziki kutokana na kuishindwa gem, la hasha nadhani kipindi kile alipoamua aachane na muziki ajikite zaidi kwenye ajira yake Airtel ndio pale akipopoteza Chanel za kimuzikiHata Mark t Mnyaru hafai ???
Mkuu tuwaangalie wale ambao walitikisa hasa kiwanda cha Bongofleva, sasa kama huyo aliyeimba kidato kimoja albahatishaga nyimbo moja tu..vipi kuhusu Pasha? , Joan, zey b , sister P, mad ice , Fatma na kaka ake wa baby Tamala, unique sisters , aliyeimba kidato kimoja, Gerry wa rymes , etc
Nimekusoma kula like 1,000,000,000.Mkuu kumbuka tunaongelea losers, Mnyalu alifanya poa sana... Lakini nahisi hakuporomoka kimuziki kutokana na kuishindwa gem, la hasha nadhani kipindi kile alipoamua aachane na muziki ajikite zaidi kwenye ajira yake Airtel ndio pale akipopoteza Chanel za kimuziki
hahahah wimbo wa taifaDudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi
etc