Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #41
Mwana FA anafanya vizuri, lakini nadhani hawa watano wote wanafanya vizuri zaidi yake! Yani hakuna hata mmoja hapo unayeweza kumtoa ili akae FAVIP unamweka wapi mwana F.A , ???
Huwa najiukiza sana inakuwaje msanii akiyeandika nyimbo moja ya nyimbo kali kwenye historia ya Bongofleva anapoteza direction mpaka anakunywa komoni??? Dah sijui alikosea wapi jamaahahahah wimbo wa taifa
Hahahahh!! Nashukuru mkuuChukua like 1,000,000,000,000.
Kabisa!! Dudu Baya pekee ndiye aliweza kuweka uzito kwenye mzani ili mziki wote usiegemee kwa Mr. Nice pekee kipindi kile..
Hahahahh!! Sandra alibamba sana kwenye ile video.. bado yuko Bongo movie anafanya vizuri tuDuh nimemkumbuka mtoto Sandra wa kaole kwenye video ya mpenzi kabla ya hawa mavideo queen wabinua makalio hawajaingia .
yuko wapi bi sandra siku hizi?
Hii ni part II mekuVIP unamweka wapi mwana F.A , ???
Naona umeongelea Winners bila kugusia Losers kama heading inavyosema
Naweza kukubaliana nawe kuhusu Navy kenzo na Yamoto Band nafasi yao ichukuliwe na Nay wa mitego lakini mtu kama shetta wa kitambo sana! Unajua shetta ni wa long time kidogo ila watu wanasahau, ana karibia miaka 7 kwenye game! Single yake ya kwanza 'Naplay' ft. Mwana FA ilitoka 2009 nadhani..Shetta,Navy Kenzo,Yamoto,mbona wa juzi tu hapo na ndo wkt wao.
Laaaabda Ney Wa Mitego
Mods waunganishe hizi threads mbili ili tuwafaidi vizuri winners and loosers...!
Sehemu ya kwanza hii hapa mkuuVIP unamweka wapi mwana F.A , ???
Naona umeongelea Winners bila kugusia Losers kama heading inavyosema
Naweza kukubaliana nawe kuhusu Navy kenzo na Yamoto Band nafasi yao ichukuliwe na Nay wa mitego lakini mtu kama shetta wa kitambo sana! Unajua shetta ni wa long time kidogo ila watu wanasahau, ana karibia miaka 7 kwenye game! Single yake ya kwanza 'Naplay' ft. Mwana FA ilitoka 2009 nadhani..
Hahahahh!! FA anafanya vizuri sana lakini nadhani Kiba anafanya vizuri zaidi, BTW nimemtupia FA pale mwishoni kwenye honorable mentions..Mtoe Kiba weka FA.
Mtoko wa kwanza wa Shetta ilikuwa 'Nimechokwa' ft. Belle 9, mwaka 2010 kama sikosei.. Miaka 6 si habaTuongelee kuhusu mtoko wa kwanza /wimbo uliomtambulisha msaniii kwa jamii,ndio tuanzie hapo,maana kama harakati kila mtu alianza zamani