Heshima ya Sugu ni kubwa sana nadhani inahitaji kuanzisha thread maalum kwa ajili yake! Nilitaka kumuweka hapo kwenye list ila nikaona ntakuwa sijamtendea haki..Inakuwaje SUGU hayupo katika top 5 winners wa bongo fleva while watu kama Ally Kiba,AY wanakuwepo.Kwenye list ya winners Diamond,Prof J na Lady Jay Dee ndio wanastahili kuwepo
Hah hah kweli we unamjua Dudubaya, hy ngoma ya mpangaji wako nilikuwa napenda ile intro Dudubaya anajitetea kwa father house kuwa ye ni mwanamuziki ndo maana anachelewa kurudi home. Father house anawaka "muziki..muziki.. muziki Rajabu Marijani na Mbaraka Mwinshehe nao tuwaite nani...!? "Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi
etc
Hah hah kweli we unamjua Dudubaya, hy ngoma ya mpangaji wako nilikuwa napenda ile intro Dudubaya anajitetea kwa father house kuwa ye ni mwanamuziki ndo maana anachelewa kurudi home. Father house anawaka "muziki..muziki.. muziki Rajabu Marijani na Mbaraka Mwinshehe nao tuwaite nani...!? "
Nakubaliana nawe kabisa kuhusu marlaw!Mtoe Kiba, aingie Mr 2 Sugu..
Na huko kwenye losers mtoe Juma Nature aingie Marlaw..
Otherwise HESHIMA YAKO UMETISHA...!!
Wengine wanasema alizidisha bange, wengine wanasema man water alivyomtema ndio alimuua kimziki..20% sijui alikosea wap
Itakuwa alikosa pesa tu na management nzurWengine wanasema alizidisha bange, wengine wanasema man water alivyomtema ndio alimuua kimziki..
Mkuu list Ni nzuri ila hapo kwenye honorable mentions naomba umtoe Shetta na huyo mpuuzi ambaye hawezi kuhit bila kutukana watu Ney wa Mitego, then muweke Ommy Dimpoz na Yamoto BandWengine wanasema alizidisha bange, wengine wanasema man water alivyomtema ndio alimuua kimziki..
Natire sio kwamba anashindwa kurudi ila hajaamua kuwa serious.Dudu Baya amehamishiwa kwenye 'honorable mentions' lakini nature naona bado anaendelea kufanya mziki lakini anashindwa kurudi kwenye levels..
Hao walisumbua lakini ilikuwa sio kivile, nimemuona GK tu hapo labda anastahili kuwemo kwenye 'honorable mentions'
Yupo tandika anakunywa komoni tuDuh nimemkumbuka mtoto Sandra wa kaole kwenye video ya mpenzi kabla ya hawa mavideo queen wabinua makalio hawajaingia .
yuko wapi bi sandra siku hizi?