Bongofleva: 5 Biggest Losers and Winners

Bongofleva: 5 Biggest Losers and Winners

Inakuwaje SUGU hayupo katika top 5 winners wa bongo fleva while watu kama Ally Kiba,AY wanakuwepo.Kwenye list ya winners Diamond,Prof J na Lady Jay Dee ndio wanastahili kuwepo
 
Inakuwaje SUGU hayupo katika top 5 winners wa bongo fleva while watu kama Ally Kiba,AY wanakuwepo.Kwenye list ya winners Diamond,Prof J na Lady Jay Dee ndio wanastahili kuwepo
Heshima ya Sugu ni kubwa sana nadhani inahitaji kuanzisha thread maalum kwa ajili yake! Nilitaka kumuweka hapo kwenye list ila nikaona ntakuwa sijamtendea haki..
 
Kumweka Ally Kiba 4 Real juu ya Lady Jay Dee Comando IMENISTUA Kidogo coz Kiba ana historia ya kupotea na kurudi kwa game afu pia ana miaka michache kwenye game kuliko Jide... Hata kwa upande wa mafanikio pia.... Zitendee haki hzo namba mkuu naona 4 inaelemewa na inahtaji msaada
 
Dudu Baya Zimwi Mtu Mapafu ya Mbwa, Mamba! Wewe utakuwa umeanza kumsikia enzi za Mr Nice mkuu, hili jembe lilikuwa na nyimbo sumbufu kama
1. Mwanangu Huna Nidhamu
2. Amri Kumi za Mungu
3. Mama Mwenye Nyumba
4. Kunguru Hafugiki
5. Nakupenda Tu
6. Wela Wela
7. Mashaka
8. Mimi mpangaji wako
9. Kaza Buti
10. Sikutaka
Ndiyo ukaja huo wimbo wa taifa kwa kipindi kile wa Mpenzi

etc
Hah hah kweli we unamjua Dudubaya, hy ngoma ya mpangaji wako nilikuwa napenda ile intro Dudubaya anajitetea kwa father house kuwa ye ni mwanamuziki ndo maana anachelewa kurudi home. Father house anawaka "muziki..muziki.. muziki Rajabu Marijani na Mbaraka Mwinshehe nao tuwaite nani...!? "
 
Attachments

Lord eyez, bushoke, nawamiss sana, najiskia vibaya kuwakosa hawa watu
 
Wengine wanasema alizidisha bange, wengine wanasema man water alivyomtema ndio alimuua kimziki..
Mkuu list Ni nzuri ila hapo kwenye honorable mentions naomba umtoe Shetta na huyo mpuuzi ambaye hawezi kuhit bila kutukana watu Ney wa Mitego, then muweke Ommy Dimpoz na Yamoto Band
 
Dudu Baya amehamishiwa kwenye 'honorable mentions' lakini nature naona bado anaendelea kufanya mziki lakini anashindwa kurudi kwenye levels..
Natire sio kwamba anashindwa kurudi ila hajaamua kuwa serious.
 
Mmeni Kumbusha Mbaaliíii!Mwenye Audio ya Raha Tu(Remix) ya AY ft Complex(R.I.P) Aitupie Hapa!
 
Back
Top Bottom