Hawez kuwa video queen tena?Yupo tandika anakunywa komoni tu
Hawez kuwa video queen tena?
Mimi nimeisikia hiyo ngoma 2001 au umechanganya madesa mkuuHata mi nilitaka nishamgae dudubaya alianza kusumbua Sana na hiyo mwanangu huna nidhamu miaka 2007 akarudi na nyimbo amevaa manguo meusi ya kitamaduni halafu baada ya hapo akapotea yaani.
hapana wewe ndo hukunielewa labda sababu sijaweka alama ya mkato nimemaanisha miaka ya 2007 akarudi na nyimbo nyingine hivi jina nimelisahau haalafu akapotea.Mimi nimeisikia hiyo ngoma 2001 au umechanganya madesa mkuu
walimwengu wanakatisha sana tamaa. majungu/maneno yanakwaza sana mtubunaumia atiHuwa najiukiza sana inakuwaje msanii akiyeandika nyimbo moja ya nyimbo kali kwenye historia ya Bongofleva anapoteza direction mpaka anakunywa komoni??? Dah sijui alikosea wapi jamaa
Mr Blue angekaa wapi mkuu? Kwenye losers au winners? Maana kote hapo naona hafiti, hatuwezi kusema ni looser kwasababu bado anafanya mziki na anafanya poa kiasi chake lakini pia hatuwezi kusema ni winner kwasababu ameshuka sana hayupo kwenye ubora wake kama kipindi kile alipoitikisa Bongofleva!!mkuu umejitahid ila bado Mr Blue angepaswa kuwepo. ivi ule upande wa dansi huangalii huko?
fid q,
Dah! Nimepata wakati mgumu akae kwenye list ipi? Maana kimuziki ameshuka so hawezi kuwa kwenye list ya winners but pia huwezi kumuweka kwenye list ya losers coz kitaa bado watu wanamkubali sana, we andaa shoo alafu muite, anakujazia ukumbi nyomi ya kufa mtuNature vepe!
Daaah ila Nature sijui ananini tu mpaka leo hii akipanda jukwaani na vinyimbo vyake vya zamani mashabiki wanachanganyikiwaMtoe Kiba, aingie Mr 2 Sugu..
Na huko kwenye losers mtoe Juma Nature aingie Marlaw..
Otherwise HESHIMA YAKO UMETISHA...!!
Jamaa ana 'nyota' kali sana ila basi tu, sijui ndio zama zake zimepita??Daaah ila Nature sijui ananini tu mpaka leo hii akipanda jukwaani na vinyimbo vyake vya zamani mashabiki wanachanganyikiwa
na ninahisi alichangia kummaliza Mr Nice kiutamaduni... nimeoteshwa🙄Hiyo list ya looser nafasi ya dudu baya alitakiwa akae Mb-dogy, dudu hajawahi sumbua zaid ya kuotea ile ngoma ya nakupenda. Maoni tu
Mkuu, nilifikiria sana watu kama akina Sugu, Afande Sele au hata Solo thang lakini nikaja kugundua kuwa kumuweka mtu kama Sugu katika list ya 'loosers' haita kuwa na maana kwasababu ingawa kimuziki hayuko juu kama enzi zake lakini ameutumia umaarufu aliojijengea kwenye mziki kuanzisha harakati zake za kuitumikia jamii (siasa)! So Sugu ni mfano wa kuigwa, haitaleta maana akiwekwa kwenye list ya 'losers'..
Jamaa ana 'nyota' kali sana ila basi tu, sijui ndio zama zake zimepita??
Umeoteshwa?? Hahahahaaalitafuta nyota ya kupigiwa makelele akiwa jukwaani akasahau anatakiwa kutafuta ya kumpa umaarufu nje na ndani ya Tanzania. Nimeota, msinihukumu
Yeah, the list is long ndio maana nimeona niweke wachache tu ambao wameleta impact kubwa zaidi either kwa ku-lose au kuwin..Kwa kuongezea tu winners and loosers uliwaelezea ni 5/5 hivyo ni ngumu kum squeeze mahala, ila naamini kuna winners na loosers wengi sana bongo si hawa tu. Asante kwa hii thread