Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania.
Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia Premium kabisa. Ukisiliza mixing ya Wabongo kisha ukasikiliza na ya Wakenya, ni vitu viwili tofautii. Wakenya kwa sasa wanatoa vyuma vikali balaa japokuwa wanaimba kwa "Sheng".
Majizo analijua hili sana, labda ameamua kulitumia kujipatia kiki tu. Wasanii wa Tanzania wamezoea kutembelea upepo wa kiki tu na majina waliyojijengea.
Kutokuwepo kwenye tuzo za Grammy siyo kwa bahati mbaya, ni kwa sababu hawana kipya, hawana ubunifu, hawana kitu cha tofauti, wamekalia kucopy na kupaste amapiano za wasauzi tu.
Cha mwisho, ukienda huko youtube Kenya wana DJs wengi sana. Wanapush kinoma kazi za wasanii wao wa Kenya. Na mixing wanazofanya zinapata mamilioni ya views. Ukija Tanzania, huko Youtube hakuna Ma-DJs wanaopost kazi zao.
View: https://youtu.be/rI5w8FrCCAk?si=-oQhD_3y4nXkp_De