mkachu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 136
- 42
kwa maana nyingine hiyo nyumba haiendani na hadhi au umaarufu aliokuwa nao
Mbya zaidi kaweka rangi za ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa maana nyingine hiyo nyumba haiendani na hadhi au umaarufu aliokuwa nao
Nashangaa wengi humu hawana hata kiwanja lakini mabingwa wa kubeza wenzao.
Kwani nyumba hata ya vyumba viwili huwezi kuita mjengo?
Acheni kutuzengua!
Hongera Mwaitege!
Hatukatai kajitahidi ila haka kajumba kataonekana mjengo na mtu aliyepangisha banda la uani somewhere huko uswahili.
Zipo servant quarters zenye viwango kuliko hii.
Btw kwenye uzi inasema hii nyumba iko shambani,mimi nimeelewa kuwa hii ni nyumba yake anayoenda kukaa anapokua ameenda shambani kwake.Kwa jina alilokua nalo nina imani ana mjengo mwingine somewhere.
Habari wababodi,
Wengi walikua wanaulizia habari za Boni Mwaitege sana maana hajasikika mda mrefu kwenye medani za gospel.Msanii Mwaitege amefunguka kwamba yupo busy na biashara zake za kuuza maji na kulima.
Boni Mwaitege amefungua kituo cha kuuza maji maeneo ya nyumbani kwake Kitunda,Kinyantila,biashara inayomuingizia pesa mbali na kuuza maji pia analima mazao ya chakula.
Picha za chini ni mjengo wa Boni Mwaitege uliopo DSM,Kitunda Kinyantila na mabanda ya uani kwa ajili ya wapangaji.
View attachment 231996
View attachment 231997
Safi nilijua upo Mbeya unauza viazi mviringo na ndizi kumbe upo dsm unauza maji...hongera kwa nyumba pia.
Ungeandika 'MWAITEGE AMEJENGA NYUMBA' ingetosha kabisa, unapozungumzia 'MJENGO' unazungumzika kitu kingine. Atleast ile ya Masanja unaweza kuiita mjengo. Anyway hongera zake kwa kufikia hatua ya kuitwa baba mwenye nyumba
Watu kwa chumvi! mbona nyumba ya kawaida? hilo bonge la mjengo lipo wapi?