Boni Mwaitege ashusha mjengo wa hatari Kitunda

Boni Mwaitege ashusha mjengo wa hatari Kitunda

Mbona kapaka rangi ya ccm? Au kwa hisani ya mama lwaka....
 
Shelter Vs celebrities.Mnaomponda Bon M kwa kuwa na mjengo wa under standard labda mnge suggest appropriate house for him, kiwanja na eneo kabisa.Life vs malengo
 
Nilidhani nyumba kama za kina Reginald Mengi, Bakhresa n the like.
 
mjengo wa hatari ndo huu?any way hongera sana Bon si haba hakuna anaekudai kodi ya nyumba
 
Habari wababodi,

Wengi walikua wanaulizia habari za Boni Mwaitege sana maana hajasikika mda mrefu kwenye medani za gospel.Msanii Mwaitege amefunguka kwamba yupo busy na biashara zake za kuuza maji na kulima.

Boni Mwaitege amefungua kituo cha kuuza maji maeneo ya nyumbani kwake Kitunda,Kinyantila,biashara inayomuingizia pesa mbali na kuuza maji pia analima mazao ya chakula.

Picha za chini ni mjengo wa Boni Mwaitege uliopo DSM,Kitunda Kinyantila na mabanda ya uani kwa ajili ya wapangaji.
View attachment 231996
View attachment 231997
Okay. Hongera sana
 
Back
Top Bottom